Safari ya Magufuli kutoka Chato mpaka Dodoma

security guard

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
799
Reaction score
603
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Magufuli akiwasalimu wakazi wa kaya ya Masumbe wilaya ya Mbogwe mkoani Geita wakati akiwa njiani kurejea Dodoma.
​
Wananchi wa Kahama wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumlaki mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli ambaye alipita kuwasalimia akiwa njiani kuelekea Dodoma.
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasili nje ya ofisi za CCM Kahama na kupata mapokezi makubwa.
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimu wananchi wa Kahama waliojitokeza kwa wingi nje ya ofisi ya CCM Kahama mkoani Shinyanga.
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimu wananchi waliojitokeza kumpokea nje ya ofisi za CCM Nzega.
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akisalimiana na Hussein Bashe nje ya ofisi ya CCM Nzega mkoani Tabora
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuliakisaini vitabu vya wageni kabla ya kuwasalimu wakazi wa Nzega.
​
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Rajab Luhwavi akitoa salaam za utangulizi kabla ya kumkaribisha Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufulikuwasalimu wakazi wa Nzega.

​
Wananchi wa Nzega wakishangilia ujio wa Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli(kulia) akisalimiana na Mbunge wa Nzega Vijijini Dk. Hamisi Kigwangala
​
Hussein Bashe amabaye ametia nia ya kugombea ubunge jimbo la Nzega Mjini akisalimia wakazi wa Nzega waliojitokeza kwa wingi kumsalimu Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Khamis Mgeja wakati wa kuwasalimia wananchi wa Nzega.
​
Mama Janet Magufuli akisalimia wakazi wa Nzega nje ya ofisi ya CCM wilaya.

​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimu wakazi wa Nzega kwenye mkutano uliofanyika nje ya ofisi ya CCM wilaya ambapo aliwaambia amefarijika na mapokezi mazuri na amewaahidi kurudi tena wakati wa kampeni zitakapoanza.
​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Pombe Magufuli akitia saini kitabu cha wageni nje ya ofisi ya CCM Ushirombo wakati akirejea kutoka Chato kuelekea Dodoma.

​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akizungumza na wakazi wa Igunga waliojitokeza kwa wingi kumsalimia.

​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk Parseko V. Kone .

​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Singida Ndugu Martha Mlata.

​
Mbunge wa Iramba Mhe. Mwigulu Nchemba (kushoto) akizungumza machache kwenye mkutano wa kumtambulisha Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli nje ya ofisi za CCM mkoa wa Singida, Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Rajab Luhwavi.

​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akizungumza na wakazi wa Singida mjini nje ya ofisi za Chama cha Mapinduzi mkoa.

​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Ikungi waliomsimamisha njiani wakati akirejea Dodoma.

​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimu wananchi wa Shelui Singida.

​

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Manyoni waliokusanyika nje ya Ofisi ya CCM wilaya kwa ajili ya kumpokea na kumsalimu mgombea wao ambaye alikuwa njiani kurudi Dodoma.
​
 
Funguo aina ya master key umeshapatikana kufungua hilo kufuli....
 
Ile ndege tuliokula majani ikanunuliwa kaitelekeza mwanza??
 
Ungejua nguvu kubwa inayotumika kuwaandaa hao watu kukusanyika usingeweza kuweka hapa hizo picha.
 
TWende mbele turudi nyuma huyu jamaa mimi namkubali sana,nilishafanya kazi kwenye wizara yake aisee usiombe huyu jamaa halali,sio usiku unaweza shangaa simu anaulizia mambo ya ofcn,nakuhakikishia watu watakuwa wanaitwa kujieleza IKULU mbaya,mimi sio mshabiki wa chama chochote ila hadi sasa kwa kuwa ccm ndo wamemtangaza na wengine bado he seems to be the gud choice
 
Kwa huyu jamaa Upinzani kwa post ya urais itakuwa ngumu. Mimi ni shabiki wa Chadema kwa sera zao, lakini naichukia CCM kwa ufisadi, lakini kwa record ya Magufuli waihesabu kura yangu mwaka huu wameipata kwa Urais. Mbunge na Diwani nitawapa wapinzani
 
Ita akili yako naona imeenda kuchunga, hatuzungumzii mtu bali tunazungumzia mfumo pamoja na taasisi kwani hakuna waliowahi kufanya kazi na NYERERE,MWINYI,MKAPA NA KIKWETE? Hamtaendelea hadi milele.
 
TWende mbele turudi nyuma huyu jamaa mimi namkubali sana,nilishafanya kazi kwenye wizara yake aisee usiombe huyu jamaa halali,sio usiku unaweza shangaa simu anaulizia mambo ya ofcn,nakuhakikishia watu watakuwa wanaitwa kujieleza IKULU mbaya,mimi sio mshabiki wa chama chochote ila hadi sasa kwa kuwa ccm ndo wamemtangaza na wengine bado he seems to be the gud choice

Tunamzunguzia mfumo uliomweka hyo Magufuli hapo bali hatuna shida ya kumzungumzia Magufuli kama mtu.

AFRICA DOES NOT NEED STRONG MAN BUT STRONG INSTITUTION...BARACK OBAMA
 
Ita akili yako naona imeenda kuchunga, hatuzungumzii mtu bali tunazungumzia mfumo pamoja na taasisi kwani hakuna waliowahi kufanya kazi na NYERERE,MWINYI,MKAPA NA KIKWETE? Hamtaendelea hadi milele.

Mkuu naheshim akili na msimamo wako, akili yangu ndo imenituma huko na wala siwezi kuiita. Ni suala la mfumo lakini je kuna mtu anaweza kuurekebisha huu mfumo, vipi kuhusu track record yake?

Sawa, tunataka kuuondoa mfumo mzima na kuweka mwingine, hili linawezekana lakini tusitegemee pia mabadiliko yatakuja kama watu wengi ikiwemo wanavyodhani. Mfumo mzima unatakiwa kuanzia kwa mwananchi wa kawaida hadi Ikulu. Akili za wabongo zimelala.

Nchi inaongozwa na head of state anayeweka msimamo "TONE AT THE TOP". Ninaamini kwa akili zangu zote, Magufuli anaweza kuweka tyune hapo juu baada ya muda kila mmoja atacheza kwa tyuni hiyo.
 
Tunamzunguzia mfumo uliomweka hyo Magufuli hapo bali hatuna shida ya kumzungumzia Magufuli kama mtu.

AFRICA DOES NOT NEED STRONG MAN BUT STRONG INSTITUTION...BARACK OBAMA

Na hiyo strong institution ni nani anayeitengeneza kama sio strong man. Chadema iko hapo ilipo kwa sababu ya Strong men - Slaa and Mbowe. Wame set TONE at the Top mpaka wamejenga hiyo taasisi. Tanzania tuko hivi leo ni kwa kuwa Nyerere ali set tone. Ukiona Amani, huu ufisadi tulionao, maendeleo tuliyo nayo.
 
Weak institution hakiwezi kua strong kikiwa bado kipo ndani, theories and practical zinasema we create and build astrong institution outside the system by observing what others do in the system, take my word
 
Kwani kampeni za uchaguzi zimeanza???
SINA IMANI NA UKAWA

11745425_1498222240469333_245503993823248521_n.jpg
 
Back
Top Bottom