Tressa
JF-Expert Member
- Mar 2, 2013
- 954
- 1,046
Hata kama chadema ikipita hakuna jipya,hakuna atakaekuwekea mkate mezani na maendeleo tunayoyaota iwapo watanzania wenyewe hatutabadilika,sisi wengi wetu ni wavivu na hilo litatucost Sana.sisi ndio source ya mabadiliko,serikali haiwezi kukufanyia mwananchi Kila kitu.

