Safari ya kwenda Mbinguni imeahirishwa

Mzee wa kutafuna kondoo na wanaKawe wakae mkao wa kuliwa
 
Namuhurumia Gwajifix anaenda kukosa yote. Waumini wameshagundua jamaa ni tapeli. Na ubunge hapati.Patamu hapo.
Najaribu kufikiri....
Je, kama akiukosa Ubunge idadi ya Waumini wake itakuwaje?
a) wataongezeka
b) watapungua
c) itabaki idadi ileile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…