Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,752
- 21,974
Ndio shida yenu nyie, kukurupuka. Mabonanza kama hayo tunashiriki kupasha moto wachezaji wetu, hususan kikosi cha pili.Mbona mmeshiriki? mngejitoa basi...
Tungewaelewa kweli hamna mzuka nalo
MFAMAJI HAISHI KUTAPA TAPA
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaaaaNdio shida yenu nyie, kukurupuka. Mabonanza kama hayo tunashiriki kupasha moto wachezaji wetu, hususan kikosi cha pili.




Mbona mmeshiriki? mngejitoa basi...
Tungewaelewa kweli hamna mzuka nalo
MFAMAJI HAISHI KUTAPA TAPA
Sent using Jamii Forums mobile app