HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,448
- 6,211
Ningekuehauri ufike makete kwenye bustani ya maajabu kitulo. Nina Safari Kama yako mwezi wa kumi Mungu akijalia.Wakuu habari za leo
Ninatarajia kuanzia safari siku ya jumanne ya tarehe 30 mwezi huu kutokea hapa Dar majila ya SAA tatu asubuhi na gari private aina ya Rav4 new model nitaenda hadi mafinga nitalala hapo kesho yake asubuhi mida ya saa tatu nitatoka mafinga nitaenda sehemu inayoitwa madibila nitapumnzika hapo kwa Massa mawili kishanitaanza safari ya kuelekea kwenye hifadhi ya wanyama pori inayoitwa IHEFU nitalala huko nitaondoka ijumaa baada ya kumaliza kufaham mazingira ijumaa hiyo nitaenda mojakwa moja hadi mbeya mjini nitalala kwenye hotel ya Mkulu Hotel baada ya hapo jumamosi nitanyosha hadi mkoa wa Songwe wilaya ya Mbozi nitaenda kuangalia kimondo nikitoka huko nitaenda moja kwa moja hadi mlowo nitalala hapo nitakula kitimoto maana 1kg inauzwa 5000 tu na ndizi za kutosha jumatatu nitarudi hadi tukuyu kiwila makaa ya mawe nikitoka huko nitalala tukuyu mjini kesho yake nitaenda ziwa ngozi ziwa la maajabu nitapitiliza hadi matema beach Kyela nitalala huko siku inayofuata nitapita kyela mjini nitaenda hadi ofisi za mbunge Harrison Mwakyembe nitamuuliza kuhusu Gwanda baada ya hapo nitarudi mbeya mjini kwa siku moja zaidi siku inayo fuata nitaanza safari ya kurudi dar huku nikiwa nimenunua Mchele ndizi viazi maparachichi karoti vitunguu naazaga kibao pale uyole nitafika dar usiku wa manane safari yangu ya mwisho itaishia Tabata segerea nitaoga na kulala napenda kukukaribia wewe unayetaka kuungana na Mimi kuzunguka huko kuangalia fursa na kutalii pia kupunguza stress kama Mimi za kuachwa na binti niliye mpenda usafiri upo bure hutachangia mafuta ila kula utajihudumia na kulala pia ni naofa kwa mdada mmoja tu yeye atasafiri kula na kulala bure kabisa twendeni tukafanye utalii wa ndani
vyovyote vile sawa Mimi aina shidaNitalala nawewe chumba kimoja au kila mtu chake?
sijawahi isikia iseeNingekuehauri ufike makete kwenye bustani ya maajabu kitulo. Nina Safari Kama yako mwezi wa kumi Mungu akijalia.
nikija dodoma nitakutafuta huwa nafikia hapo Area C Nam hotel kwenye hotel ya white hairAiseee ningekuwa dar hii fursa nisingeiacha roho inauma sana[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
nikija dodoma nitakutafuta huwa nafikia hapo Area C Nam hotel kwenye hotel ya white hair
utanipeleka huko alafu jumamosi yake tunaenda kula mbuzi kule mnadani msalatoNam hotel siyo pazur kivile uje hata Climax hotel kama una mkwanja mrefu tunaenda hata Nashera hotel
utanipeleka huko alafu jumamosi yake tunaenda kula mbuzi kule mnadani msalato
Inamaajabu gani hiyo bustanNingekuehauri ufike makete kwenye bustani ya maajabu kitulo. Nina Safari Kama yako mwezi wa kumi Mungu akijalia.
Hiyo ndo raha ya shambaKitimoto 5000 dah[emoji23]
Mkuu Kulubule, Safi sana huo Utalii wako wa ndani kupunguza Stress.Wakuu habari za leo
Ninatarajia kuanzia safari siku ya jumanne ya tarehe 30 mwezi huu kutokea hapa Dar majila ya SAA tatu asubuhi na gari private aina ya Rav4 new model nitaenda hadi mafinga nitalala hapo kesho yake asubuhi mida ya saa tatu nitatoka mafinga nitaenda sehemu inayoitwa madibila nitapumnzika hapo kwa Massa mawili kishanitaanza safari ya kuelekea kwenye hifadhi ya wanyama pori inayoitwa IHEFU nitalala huko nitaondoka ijumaa baada ya kumaliza kufaham mazingira ijumaa hiyo nitaenda mojakwa moja hadi mbeya mjini nitalala kwenye hotel ya Mkulu Hotel baada ya hapo jumamosi nitanyosha hadi mkoa wa Songwe wilaya ya Mbozi nitaenda kuangalia kimondo nikitoka huko nitaenda moja kwa moja hadi mlowo nitalala hapo nitakula kitimoto maana 1kg inauzwa 5000 tu na ndizi za kutosha jumatatu nitarudi hadi tukuyu kiwila makaa ya mawe nikitoka huko nitalala tukuyu mjini kesho yake nitaenda ziwa ngozi ziwa la maajabu nitapitiliza hadi matema beach Kyela nitalala huko siku inayofuata nitapita kyela mjini nitaenda hadi ofisi za mbunge Harrison Mwakyembe nitamuuliza kuhusu Gwanda baada ya hapo nitarudi mbeya mjini kwa siku moja zaidi siku inayo fuata nitaanza safari ya kurudi dar huku nikiwa nimenunua Mchele ndizi viazi maparachichi karoti vitunguu naazaga kibao pale uyole nitafika dar usiku wa manane safari yangu ya mwisho itaishia Tabata segerea nitaoga na kulala napenda kukukaribia wewe unayetaka kuungana na Mimi kuzunguka huko kuangalia fursa na kutalii pia kupunguza stress kama Mimi za kuachwa na binti niliye mpenda usafiri upo bure hutachangia mafuta ila kula utajihudumia na kulala pia ni naofa kwa mdada mmoja tu yeye atasafiri kula na kulala bure kabisa twendeni tukafanye utalii wa ndani
asilimia kubwa ni lami itafikaMkuu Kulubule, Safi sana huo Utalii wako wa ndani kupunguza Stress.
Imekaa njema.
Wasiwasi wangu ni hapo kwenye RAV 4.
Itamudu hiyo safari?....