Safari ya kufuata mhogo

Wenye tabia hii watakufa na uzinzi
 
Pole sana dear, sasa ni muda wa kuwa unaufata muhogo hapa jirani tuu nipo SOGEA hapa tukitoka hapa tunaenda mpemba kula raha mamii usifate muhogo mbali namna hiyo ni hatari pia kusafiri masaa karibu 20.
 
Npo kwa gar narud zangu kwangu hamu na mwanaume Sina nimeshavuliwa nguo vyakutosha
Aisee hatari hii ila nyie bado tuu hamjakomaganna hii mambo ya long distance relationship
 
Hata sisi tuliostaafu hivyohivyo tu tofauti busara inakuwepo… mtoa mada Tunduma hakuna mihogo? Au wanalima nyanya tu? [emoji3][emoji3][emoji3]
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwaiyo wewe ni legend
 
Wazee wetu wakianza kuumwa msiwatelekeze basi endeleeni kuwa nao Kama marehemu bibi zetu walivyokuwa nao ktk kila hali
 

We tuache kwanza suala la katiba mpya tunataka iwepo provision inayokataza mwanaume kuhonga [emoji23][emoji23]
 
Hata sisi tuliostaafu hivyohivyo tu tofauti busara inakuwepo… mtoa mada Tunduma hakuna mihogo? Au wanalima nyanya tu? [emoji3][emoji3][emoji3]
Wewe mwanamme ukiwa wamkojoza anaweza kuifuata de libolo ata mwezini
 

Mtuombee wakuu
Kuwa mwanaume sio kazi ndogo, imagine limji kama Dasalama jamani
Hebu fikiria ndio unakatiza pale wanaita chuo kikuu, rudi kapande pantoni jamani, toka uko tembelea TIA, IFM, CBE huko kote acha ingia mjini kule sjui mnaita site senta

Uanaume kazi nyie msifanye utani[emoji24]
 
. .. ila afadhari leo One Girl Down tumezoea riport za kila siku One Man Down..Na nyie onjeni kidogo.
 

Subiri Per Diem Mpya Umetoka Mbali Sana ​

Ukipitia Njia Tanga Oops!!​

Songwe, Mbeya, Njombe, Iringa, Morogoro, Pwani, Tanga, Kilimanjaro, Arusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…