Safari ya kuelekea ulaya;

Safari ya kuelekea ulaya;

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
mbongo 1: Aise hivi hii ndege ikizima huku juu itakuwaje?
mbongo 2: Shhhhhh uchune, hawa wazungu hawana maana watatulazimisha tuisukume mpaka iwake.​
 
Jamaa mmoja alienda kwa mganga kuomba dawa uume wake usimame,mganga akamwandikia wimbo wa taifa, jamaa akauliza: huu wimbo ndo dawa? mganga akamjibu wimbo wa taifa rais anasimama itakuwa hicho kidudu chako!​
 
Duh, umetisha!...
 
Back
Top Bottom