Msaada tafadhaliniWakubwa poleni na mishe za kutwa nzima,samahani kwa bughudha usiku huu,naomba mwenye kujua nauli ya bus kutoka Dodoma kwenda mwanza na bus zuri tafadharini sana naombeni jibu mapema nijue ku arrange mambo
Watu wamelala saizi uwaulize kesho si wengine ni mabundiMsaada tafadhalini