Midumare Ngatuni Iwato
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 1,653
- 2,053
Nilijuta nililia sana kwanini niliendaKama vile ngorongoro crater
Nilijuta nililia sana kwanini niliendaKama vile ngorongoro crater
Nilijuta nililia sana kwanini nilienda
Kwa miguu utapita njia ipi, na njia ndo hiohio 1Hasa njia ya lerai
Rafiki ukipata kizunguzungu wewe, Mimi nitakuwaje?Nimepata kizunguzungu
Aisee kama sehemu naziogopa ni kama hizo huwa sifumbui macho kabisaRafiki ukipata kizunguzungu wewe, Mimi nitakuwaje?
Nitaomba dua hadi tunamaliza sehemu hatarishiAisee kama sehemu naziogopa ni kama hizo huwa sifumbui macho kabisa
Inaonekana njia yote iko hivyo katika miamba. Dheafo utalala hadi ufike?Aisee kama sehemu naziogopa ni kama hizo huwa sifumbui macho kabisa
Mkuu panatisha sana kosa moja ata mabaki yetu ngumu kutambulika kulikuwa na baridi ila nilivuja jasho sanaKwanini mkuu?
Mkuu panatisha sana kosa moja ata mabaki yetu ngumu kutambulika kulikuwa na baridi ila nilivuja jasho sana
Mkuu kasampaida hili wazo lako natamani kulitambulisha kikosi cha usalama barabarani ili kuwatambua madereva na wanaojua kuendesha gari nadhani itapunguza ajali barabaraniKuna udereva na kuna kujua kuendesha gari, ni vitu tofauti hivyo, dereva hapo wala hawazii chochote na sigara anavuta kwa starehe, ila kama we ni wakujua kuendesha tu lazima miguu ijae maji.
Mkuu kasampaida hili wazo lako natamani kulitambulisha kikosi cha usalama barabarani ili kuwatambua madereva na wanaojua kuendesha gari nadhani itapunguza ajali barabarani
Ee Mungu utusaidie viongozi wetu walijulishe hili kwa watuKama una nafasi hiyo rukhsa Mkuu, wengi wapo barabarani wanajua tu kuendesha magari lakini madereva ni wachache sn, wao hilo wakilisimamia ajali zitapungua sana kama sio kwisha kabisa.
Ee Mungu utusaidie viongozi wetu walijulishe hili kwa watu
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Njia kama hizi sana unazikuta nchini Afghanistan,halafu wao wameshazowea wanaendesha bila wasiwasi wowote!
Hata kwa miguu hapo sipiti labda kwa kutambaamh! dereva tangulia mi nakuja kwa miguu.