Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,317
Hasa njia ya leraiKama vile ngorongoro crater
Hasa njia ya lerai
Sisi mzee tunapita na war bus hasa kona ya kwanza na yapiliKama mtu ana roho nyepesi,awezi kuendesha gari
Shughuli inakuja pale yanapokutana, mmoja anatakiwa arudi nyuma!!!! [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Sisi mzee tunapita na war bus hasa kona ya kwanza na yapili
[emoji87] [emoji54] [emoji54] [emoji15] [emoji15]Unalala na 80 au 90 hapa,hakuna kuweka mguu kati
Kwani mmefika mkuuNikifika sirudii tena kupita huko