ameeeeenNamtakia safari njema huko aendako na Mungu amtangulie kwa kila hatua apigayo katika safari yake.
Hata mimi niko njiani nasafiri Mungu atuongoze salama atuepushie baya lolote lisitokee katika safari yetu
damu ya Yesu itufunike, malaika mlinzi atulinde, ibilisi ashindwe...... Kwa jina la Yesu wa Nazalet...
A M E N!!!!!!!!!
Namtakia safari njema huko aendako na Mungu amtangulie kwa kila hatua apigayo katika safari yake.
Hata mimi niko njiani nasafiri Mungu atuongoze salama atuepushie baya lolote lisitokee katika safari yetu
damu ya Yesu itufunike, malaika mlinzi atulinde, ibilisi ashindwe...... Kwa jina la Yesu wa Nazalet...
A M E N!!!!!!!!!
MUNGU awatangulie waende na kurudi salama, Amin!
AMEN! LADY we unaelekea wapi? mi naenda Moshi..
Shukrani sana ndugu yangu...nafika hadi marangu!!
ni msiba King'asti..thank u much!!
Mkwe, mimi mama niko nahangaika na maisha huku bongo
hebu niambie kuna nini tena huko kijijini, si unajua moshi ni mbali kuliko huko mliko
kiwatengu acha hizo, why not haukunitumia hata sms,
safari njema na Mungu awapiganie kwa kila hali.
Ndima mama mkwe wa hapa bongo.
Kaka poleni sana...

me nnilianza safari jana, naenda kiteto ila nimelala kibaigwa...... Napata breakfast hapa then nianze tena safari