Safari ni Safari

Safari ni Safari

Martinez

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
525
Reaction score
161
Jamaa waliagizwa kreti za bia na Mwenyekiti wa kijiji ambaye ana shughuli ya harusi ya bintiye.
Gari si ikawaharibikia porini, kupiga simu msaada subiri wee hola. Wakaona ujinga!
Si wakaamua kuzilamba bia zote na kulisakata sebene !
Hapo ndio wanamalizia

537551_454217877970750_1275367761_n.jpg
 
Ha ha haaaaaaaaaaa......
He he heeeeeeeeeeeeeeeeeeee......
Hi...
Nimecheka mpaka basi !
Watu mmepinda.
 
Waacheni walevi wanywe wasahau ntaabu zao...Zaburi
 
Hao jamaa walitekwa na majambazi na hiyo ndio ikawa adhabu yao..ya kunengua mbele yao..
 
halafu jamaa sijui ni ndugu maana vichwa vinafanana kama embe bolibo.
 
Back
Top Bottom