Safari ni ndefu lakini bado tunajikongoja

Kahama- shy

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
2,050
Reaction score
2,896
Habari za wakati huu ndugu zangu wapendwa katika bwana, nanyi pia ni wazima tumejaliwa uhai siku hii pia tumeiona,

Ndugu zangu baada ya kusema hayo tu niseme nipo katika changamoto Moja Sina namna Wala jinsi Sina mishe nauguliwa nipo na mgonjwa naomba msaada wenu angalau sh elfu kumi tu itaniokoa sana na kunipa nguvu mpya ya kuimaliza siku hii,

Sina mengi naomba tu niishie hapa Asante kwa mwenye maswali nipo tayari kujibu
 
Si ungeweka namba wakutumie? Au hujui watu wanalimda privacy zao?
 
Nipo tayari kujibu maswali yoyote kwenye mashaka
 
Jf imebadilika sana kipindi hiki, watu hawafatilii tena shida za watu. Wengi washasaidiwa wakaharibu humu. Wewe chagua watu wako wanne wafate inbox wakague post zao za nyuma then do. Watakaowiwa watakusaidia. Ila usitegemee sana humu
 
Back
Top Bottom