Mkuu hizi taarifa ni kutoka chanzo gani, BBC, Sky News na CNN vyombo vya habari vinavyoegemea upande wa waasi vimetangaza kuwa hali ya mapigano imeibuka uipya nchini Libya na kwamba Col. Gadhafi ameutangazia umma kuanzia sasa upigane for 'victory or martyr' na kwamba wanajeshi loyal kwa Gadhafi wameanza kutumia silaha nzito kuwasambaratisha waasi mjini Tripoli