Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,279
- 33,880
Mkuu,Utafiti unaonesha tofauti. Uzoefu unaonesha tofauti. Ponda ameamua kuonesha msimamo wake wa wazi kama ambavyo wewe umeonesha wako kwa uwazi. Binafsi naamni kwamba JPM ana uzuri wake lakini hio haimaanishi kwamba wananchi lazima wamachague hapana. Kama wananchi wakiamua kumchagua LISSU sioni Tatizo isipokuwa kwa watu kama wewe ambao mnafikiri ni tatizo.Sheikh ponda ameamua kuimalizia heshima ndogo aliyobaki nayo
Ameamua kulamba matapishi yake ili mkono uende kinywani
Mkuu,Utafiti unaonesha tofauti. Uzoefu unaonesha tofauti. Ponda ameamua kuonesha msimamo wake wa wazi kama ambavyo wewe umeonesha wako kwa uwazi. Binafsi naamni kwamba JPM ana uzuri wake lakini hio haimaanishi kwamba wananchi lazima wamachague hapana. Kama wananchi wakiamua kumchagua LISSU sioni Tatizo isipokuwa kwa watu kama wewe ambao mnafikiri ni tatizo.
Tutambue kwamba mwisho wa siku hii ni nchi yetu wote na ni lazima tujadiliane namna tunataka itawaliwe na kuongozwa. Ni wajibu wetu.
Mkuu unajua na kuelewa ushoga nini?Unajua na kuelewa msaliti ni mtu wa aina gani?Mkuu Tanzania hatuwezi kuongozwa na msaliti wa Nchi Lissu hiyo haitatokea hata mbingu zigeuke
Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Mkuu,Mgombea wenu ameleta amani,upendo,umoja ushirikiano na maendeleo?
Watu wananishi kwa vipande vya mihogona kachumbari,Nafasi moja ya ajira inakuwa na waombaji 10,000,Hospitali watu wanakufa kwa kukosa huduma.Mfumo wa huduma serikali umekuwa kama labour camp,wafanyakazi hawajongezewa mshahara hata senti tano pamoja na inflatio kuwa kubwa kwa miaka mingi.Katika yote hayo unaona kwamba tuko uchumi wa kati au tunarudi uchumi wa kijima?Ndio kama huu Mkuu, kwa taarfa yako kwa hii kasi ya Magufuli miaka mitano ijayo tutaipiku south Africa
Rais Magufuli ni mbeba maono ya Watanzania
Mkuu, Kwa hio ile miradi mikubwa imetoa ajira za kutosha kabisa?Miradi yenye si inasuasua mpaka imepoka pesa mtaani na kuzifungia chini? Matokeo yake mazingira ya ajira yameharibika. Kwa hio kwa sababi kwa mabeberu hakuna ajira basi na huyo Magufuli ni beberu pia?Kwa hio unataka watu wawe wankula mihogo ka nguchiro wakati wengine wanakula raha? Ndi sera yenu kama Chama?Ndio manchotaka watanzania wachague?Ndio ajenda yenu kwa miaka mitano ijayo na bado manumia kukiwa na mjadala wazi na wa uhuru? Kweli?Nyie chadema kweli giza kichwani
Kula mihogo Ndio umasikini ? Unataka mtu ale mavyakula ya viwandani ndio useme anakula vizuri ?
Tatizo la ajira lipo hadi kwa Mabeberu mnaowaabudu
Ndio maana kwa kuona hilo Rais Magufuli ameamua kujenga miradi mikubwa itakayowezesha vijana kujiajiri
Hakuna serkali inayoajiri watu wote duniani fanya utafiti, ila inawawekea mazingira bora ya kujiajiri
Mkuu,Kwa hio ile miradi mikubwa imetoa ajira za kutosha kabisa?Miradi yenye si inasuasua mpaka imepoka pesa mtaani na kuzifungia chini?Matokeo yake mazingira ya ajira yameharibika.Kwa hio kwa sababi kwa mabeberu hakuna ajira basi na huyo Magufuli ni beberu pia?Kwa hio unataka watu wawe wankula mihogo ka nguchiro wakati wengine wanakula raha?Ndi sera yenu kama Chama?Ndio manchotaka watanzania wachague?Ndio ajenda yenu kwa miaka mitano ijayo na bado manumia kukiwa na mjadala wazi na wa uhuru?Kweli?
Mkuu,Kwa mfano mradi wa SGR utazalisha ajira kias gani ukikamilika? Mradi wa stiegler Je utazalisha ajira kiasi gani? Takwimu zipo?Miradi mikubwa imeanza kutoa matunda Kumbuka miradi mikubwa haichukui siku moja
Miradi mikubwa ikikamilika uwezo wa kujiajiri kwa kiwango kikubwa
Muwe mnawaambia viongozi wenu wa chadema wasiwe wanawadanganya
Watanzania wamechoka kuongozwa na mtu mshamba (hii siyo mimi nasema, ni Nape Nnauye!).
Ajira Milioni 40?TAZARA NA TRC KWA PAMOJA ZIMESHINDWA KUZALISHA AJIRA 10,000 we unazungumzia ajira nyingi kulika labour force ya nchi.Kweli Tanzania tunasafari ndefu kama aina ya fikra kama hizi ndio inataka kutashawishi tupige kura kwa nani.Unaokuwa unamfanyia mgombea kampeni usifikir tu masalhi yako unayopata.Lazima uelewa sera za magombea wako uziamini na uzitete ukiwa na facts zaote.SGR itazalisha ajira zaidi ya million 25
Na Mradi wa Stigila utazalisha ajira zaidi ya milion 15
"Naangalia picha hiyo hapo chini ya Sheikh Ponda akiwa katika mkutano wa Vijana wa Kiislam uliofanyika Chuo Cha Biashara Dodoma (CBE) mwaka wa 1988 na naangalia video za Kampeni ya Uchaguzi 2020 Sheikh Ponda akisimama jukwaa moja na Maalim Seif na Tundu Lissu.Safari ndefu ya Ponda iko wapi?
Historia ya ponda Ingefaa uianzie kwa wazazi wake me asili yake ili tumuelewe vizuriMkuu,Utafiti unaonesha tofauti. Uzoefu unaonesha tofauti. Ponda ameamua kuonesha msimamo wake wa wazi kama ambavyo wewe umeonesha wako kwa uwazi. Binafsi naamni kwamba JPM ana uzuri wake lakini hio haimaanishi kwamba wananchi lazima wamachague hapana. Kama wananchi wakiamua kumchagua LISSU sioni Tatizo isipokuwa kwa watu kama wewe ambao mnafikiri ni tatizo.
Tutambue kwamba mwisho wa siku hii ni nchi yetu wote na ni lazima tujadiliane namna tunataka itawaliwe na kuongozwa. Ni wajibu wetu.
Asili yake??Kama kawaida mtu akidai haki aitwa si Mtanzania.Swali ni Je PONDA anasimamia nini?Kama kile anachosimamia ni halali basi haijalishi asili yake ni IPI.Nafikiri ni wakati sasa tuanze kuitazama nchi yetu kama nchi yetu na sio kama nchi ambayo sio yetuHistoria ya ponda Ingefaa uianzie kwa wazazi wake me asili yake ili tumuelewe vizuri
Okelo alikuwa mtz?Historia ya ponda Ingefaa uianzie kwa wazazi wake me asili yake ili tumuelewe vizuri
akikujibu pitia koka baridi unitumie namba ya simu nilipe kwa mpesa.Okelo alikuwa mtz?