Mwanga Mkali
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 1,315
- 2,531
Amani kwenu!
Moja ya weaknesses I had was jigjig
But after 13hrs bila tongozo na pisi kali aliyekaa next seat naamini Yesu kanibadili.
Ilikuwa mwiko nikae na pisi kali jirani safarini mpaka tunafika asiliwe kimasihara no matter with her status. Ila ndani ya safari hii sikuwa na mzuka zaidi ya kuifikiria familia yangu.
Kumbe inawezekana kubadilika ukawa mtu safi. Wito kwa walio na tabia hiyo muda mnao mabadiliko yanawezekana.
Asiye mdhambi awe wa kwanza kuniponda jiwe.