mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,508
- 138,389
Tangu nimeanza kunywa beer sijawahi kunywa bia yoyote zaidi ya hii
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee me niliacha kunywa safari baada ya kuja hizi ndogo saa hv nabugia k vant labda hio nisuuzie baadae sanaTangu nimeanza kunywa beer sijawahi kunywa bia yoyote zaidi ya hii
OvaView attachment 857006
Sent using Jamii Forums mobile app
Ladhaa mzee baba beer ya ukweliEti ni kweli huto tuvibanda kwenye nembo ya safari huashiria wanywa safari wana majumba makubwa na mengi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh k vant sijui Naionaje ktk pombe kali ni nyagi tu tena mixer safariAisee me niliacha kunywa safari baada ya kuja hizi ndogo saa hv nabugia k vant labda hio nisuuzie baadae sana