A ashishi vidyat JF-Expert Member Joined Jul 28, 2025 Posts 207 Reaction score 286 Oct 20, 2025 #21 Pale mtwara ipo meli inatoka kila siku kwenda comoro zinazobeba makaa ya mawe ya rost tamu
Ponjoro wa Kinondoni JF-Expert Member Joined Jan 5, 2024 Posts 3,535 Reaction score 9,608 Oct 20, 2025 #22 Angada said: Msipotoshe watu Jahazi hilo la kwenda Comoro linaanzia wapi? Click to expand... Hujui chochote.
Angada said: Msipotoshe watu Jahazi hilo la kwenda Comoro linaanzia wapi? Click to expand... Hujui chochote.
mhuri25 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 3,518 Reaction score 4,955 Oct 20, 2025 #23 babukijana said: Hapo Comoro kwa ndege ni lisaa 1 tu umefika, madagascar,mauritios ni 1hour trip. India 3hrs as i know Na ndege unaweza kuondoka nayo hapo mtwara. Click to expand... India 3 hrs kutokea wapi mkuu!?
babukijana said: Hapo Comoro kwa ndege ni lisaa 1 tu umefika, madagascar,mauritios ni 1hour trip. India 3hrs as i know Na ndege unaweza kuondoka nayo hapo mtwara. Click to expand... India 3 hrs kutokea wapi mkuu!?
Mgoroko JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 840 Reaction score 491 Oct 21, 2025 #24 Prisca22 said: Habarini ningependa kujua kuhusu usafiri kutoka mtwara mpaka comoros je napataje usafiri,ina gharimu kiasi gani,inachukua muda gani kufika na je usafiri upo kila siku au ikoje?asanteni Click to expand... Nenda ulizia uhamiaji,watakupa majibu mazuri kuliko huku,watu watakuposha na kukudhihaki.
Prisca22 said: Habarini ningependa kujua kuhusu usafiri kutoka mtwara mpaka comoros je napataje usafiri,ina gharimu kiasi gani,inachukua muda gani kufika na je usafiri upo kila siku au ikoje?asanteni Click to expand... Nenda ulizia uhamiaji,watakupa majibu mazuri kuliko huku,watu watakuposha na kukudhihaki.