godson Lomayani
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 538
- 711
mkuu naweza pata no za dar lux?Nilitegemea ningepata tabu katika safari yangu,lakini nashukuru nilipata usafiri wa uhakika wa Basi la Dar Lux lililokuwa likiendeshwa na mwanamama the trip was comfortable,thanks God nimefika salama kwenye mji wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
mji wako kwani wewe ni RC....just kiddingππππππNilitegemea ningepata tabu katika safari yangu,lakini nashukuru nilipata usafiri wa uhakika wa Basi la Dar Lux lililokuwa likiendeshwa na mwanamama the trip was comfortable,thanks God nimefika salama kwenye mji wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jifanye kama unajikunamji wako kwani wewe ni RC....just kiddingππππππ
sawa sawa mkuu nilikuwa natokea arusha sasa mpaka tarehe mbili ndo ntatoka moshi niende arusha then tarehe 3 dzm ndo maana nilikuwa nahitaji no zao for bookingMkuu ticket yenye contacts zao nimei misplace,ila ofisi zao ziko pale Shekilango
Sent using Jamii Forums mobile app