Safari Hiyoooooo

Safari Hiyoooooo

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
734264_552387738122074_98387434_n.jpg
 
Mhhhhhhh!Mkuu huko vijijini changamoto ya usafiri bado sana
 
Hapo unakuta waliopakizwa nimaafisa wakubwa wanaenda kwenye biashara zao.
Chezea ofisz weye!!!!!!!!!
 
Hayo mabati yapo in case mvua ikianza kunyesha hao raia wa juu wanayashikilia kama mwamvuli...
 
Miaka 51 ya Uhuru hiyooo, maisha bora kwa kila mtanzania!
 
Mandoline, 109 chuma cha pua.
Punda hafi na mzigo lazima ufike.
 
Du!Hii ni hatari,hebu jiulize Trafiki akiisimamisha gari hii huwa inakuaje?
 
Trafiki sehemu hizo hana matatizo kwani anakatiwa BUKU MBILI mchezo unakwisha!!
Halafu mbele kidogo gari inapata ajali na kuua watu wengi huku Trafiki haulizwi lolote wala kuchukuliwa hatua yoyote,kweli hii ni Tanzania yenye neema ambapo kila kitu kinawezekana.
 
Nadhani Mwingereza anajuta kuleta chuma kama hiki, kama ilivyo kwa Mjapan na Stout 2000.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom