Njoo ukifika jitambulishe kwa kusalimia kikwao, wataona unawathamini, Just 2 help
Baba lawai= shikamoo baba
Ama lawai= " mama
ako " = " babu
Watajibu sayuu, na kukuuliza saita utajibu sayuu
Naasi= Asante.................... mimi sio muiraqw. Naishi nao tu huku manyara. Ni-pm ukija nikupe company.
Baada ya baba yake kukataa binti yake kutolewa posa yangu kisa bado mdogo (22yr), mzazi huyo kaja na mpya anaitaji kwanza niende kwao waweze kunifahamu na hii ni baada ya binti kushinikiza. Upande wangu sina tatizo kwani yeye ndiyo chaguo langu hivyo nimepanga wkend ijayo niende kutambulika rasmi kabla ya mipango mingine (Wazee wangu wanafahamu hili na wamebariki).....
utata unaonikabili hivi kwenda kujitambulisha kwao binti kuna ulazima wa kuwa na mtu mwingine zaidi kama ndugu ama rafiki?? Kuna umuhimu wa kupereka zawadi yoyote kwa wakwe? (Binti anasema haina haja wanataka tu wanifahamu ila mie naona kama anachukulia ni swala dogo). Wale wanaofahamu hizi taratibu za wairaque plz naombeni ushauri
Note.. si kwenda kutoa posa ni kujitambulisha...
Ghamila??na kumaliza je??? wanasemaje?:wacko:
Sikukatishi tamaa ila nasikia hilo kabila huwa hawajui kusema no...Baada ya baba yake kukataa binti yake kutolewa posa yangu kisa bado mdogo (22yr), mzazi huyo kaja na mpya anaitaji kwanza niende kwao waweze kunifahamu na hii ni baada ya binti kushinikiza. Upande wangu sina tatizo kwani yeye ndiyo chaguo langu hivyo nimepanga wkend ijayo niende kutambulika rasmi kabla ya mipango mingine (Wazee wangu wanafahamu hili na wamebariki).....
utata unaonikabili hivi kwenda kujitambulisha kwao binti kuna ulazima wa kuwa na mtu mwingine zaidi kama ndugu ama rafiki?? Kuna umuhimu wa kupereka zawadi yoyote kwa wakwe? (Binti anasema haina haja wanataka tu wanifahamu ila mie naona kama anachukulia ni swala dogo). Wale wanaofahamu hizi taratibu za wairaque plz naombeni ushauri
Note.. si kwenda kutoa posa ni kujitambulisha...
Ghamila??
Hakuna haja ya kwenda na mtu kabila hilo hawanaga matatizo sn.
Matatizo gani?wana mamatizo sana tena sana tu
Sikukatishi tamaa ila nasikia hilo kabila huwa hawajui kusema no...
Kazi kwako...
Nenda na mtu mzima