thundercat8
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 310
- 678
😂😂 Zile huwa ni soga tu mzee baba"akifa mke mume atazikwa pamoja na mkewe akiwa hai, na akifa mume mke atazikwa na mkewe akiwa hai. Hivyo nalia kama mke wangu akifa na mimi ndo mwisho wangu."
Hivi ile kauli ya "niko tayari kufa kwa ajili yako" huwa ina maana gani?