Safari 7 za Sinbad

TATA MKURIA

JF-Expert Member
Apr 6, 2015
247
500
Aisee wewe ni mwamba Bujibuji, hii ni hobby yako mkuu kama nilivyo mimi. Wakati wengine wanaona unajichosha wewe unaona kawaidaa na una enjoy hizi vitu. Mungu akupe afya ya kutosha mkuu utupe hadithi nyingi zaidi.

Asante
 

Mdomo bakuli

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
3,443
2,000
"akifa mke mume atazikwa pamoja na mkewe akiwa hai, na akifa mume mke atazikwa na mkewe akiwa hai. Hivyo nalia kama mke wangu akifa na mimi ndo mwisho wangu."

Hivi ile kauli ya "niko tayari kufa kwa ajili yako" huwa ina maana gani?
 

Infopaedia

JF-Expert Member
Oct 28, 2011
1,169
2,000
Asante sana kaka. Ila sijui kwanini muandishi hakumalizia wasifu wa Sinbad kwenye jina lake. Alikuwa anaitwa 'Sinbad Baharia'.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom