Safari 7 za Sinbad

Mkuu Bujibuji nasikia hiki kitabu kuna cha zamani miaka ya 1920 na mpya. Jii ni ipi?
Hivi ni katika vitabu vya 'hadithi za Alfu lela u lela'. Ni hadithi ambazo zimatafsiriwa kutoka kwa kiarabu na vitabu vilikuwa na volumes 4.

Hivi vitabu vilikuwa ni sehemu ya kujisomea shule na sisi wanafunzi tukivipenda sana maana vilikuwa na hadithi nzuri sana za kufurahisha na kuhuzunisha.
 
Alfela yulela
 
Bujibuji kama umeweza kuandika yooote hayo na hujakopy mahali, basi wewe utakuwa na roho ngumu aisee

Lakini hongera.
Probably scanning a hard copy into an editable text or something similar, and thereafter copying and pasting the contents of the entire document to here......, it"s just my guess anyway
 
Ok
 
Ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…