Saed Kubenea yuko wapi?

Acheni kubenea aitwe kubenea, kamwe hakuna gazeti tz linalofungua ubongo wa watu kama MWANAHALISI hata jk mwenyewe analijua hilo! Kama umetumwa kumfuatilia kubenea hakika yeye ni kamanda na hutomuweza kumdhuru tena. Ushindwe kabisa!
 
Anayeliombea Mwanahalisi kifo atatangulia mwenyewe - sisi tunaendelea kulisoma kwa kwenda mbele
 
quote_icon.png
By Kimbunga
Mkuu kisima jongoo kama sasa anachukua diploma ya Mass Communication, huko nyuma alikuwa na cheti gani? Au ndio ile habari niliyowahi kuisikia kuwa jamaa elimu iko chini anatumia talanta tu katika uandishi?

Kaka yangu Kimbunga Tanzania hakuna waandishi wa habari wengi wao ni makanjanja wa mjini tu. Wewe angalia magazeti yetu na aina ya waandishi Tanzania kila muandishi ana malengo ya kuwa kiongozi wa chama.

Wakuu wawili hapo juu.. Suala la ukanjanja linajulikana na athari zao zinaonekana.. Ila ninaomba mnijuze ukanjanja wa Kubenea katika suala zima la uandishi wa habari za gazeti lake..! Nilichoona na ninachoendelea kukiona ni uandishi wa habari wenye weledi wa hali ya juu.. Habari na makala zilizojengwa kwa hoja na ushahidi ambao umejitosheleza..
 
Mkuu kisima jongoo kama sasa anachukua diploma ya Mass Communication, huko nyuma alikuwa na cheti gani? Au ndio ile habari niliyowahi kuisikia kuwa jamaa elimu iko chini anatumia talanta tu katika uandishi?

Mimi mwenyewe kaka nimestuka kusikia jamaa anatafuta diploma! wakati kuna vijana kama 500 kila mwaka wanamaliza BA Journalism na BA Mass Com bongo! Kweli ukistaajabu ya Musa
 
Said Kubenea yupo bahati mbaya gazeti la Mwanahalisi linakufa kifo cha kawaida imefika wkt linauzwa kwa kilo maeneo ya Kariako/Msimbazi na Uhuru.

Wewe kweli mchuzi wa bata. Hujui kwamba kila gazeti (lolote unalolijua) huwa linauzwa kwa kilo? returns zote huzwa kwa kilo, na hakuna gazeti lolote liwalo ambalo halina returns. Hii ni kwa sababu magazeti yote dunia huchapisha zaidi ya mauzo yake ili kulitosheleza soko na yanayobaki huuzwa kwa kilo.
 
Mimi mwenyewe kaka nimestuka kusikia jamaa anatafuta diploma! wakati kuna vijana kama 500 kila mwaka wanamaliza BA Journalism na BA Mass Com bongo! Kweli ukistaajabu ya Musa

Wapo wapi? Hao wanaoishia kuwa wakuu wawilaya? Katika dunia ya sasa BA, MA, Phd haina mana if you cant defend it by quality of what your delivering! We unakuwa mtangazaji wa eatv, clouds, utakuwa lini? Majungu tuu
 
Isije akawa amekimbia kivuli chake,maana gazeti lake limekuwa liporomoka kwa kasi siku hizi
 
Kubenea aishukuru sana Serikali ya JK vinginevyo angekuwa kipofu!

Usemayo sio kweli. Ni kweli JK alikwenda Muhimbili kumuona baada tu ya tukio la tindikali na kumuahidi serikali kumgharamia gharama za matibabu, lakini ilikuwa ni usanii tu wa JK kama kawaida yake.

gharama zote amekuwa akitoa Mzee Mengi na waziri mmoja ambaye sitaki kumtaja.

Ukweli ndiyo huo.
 
Mimi mwenyewe kaka nimestuka kusikia jamaa anatafuta diploma! wakati kuna vijana kama 500 kila mwaka wanamaliza BA Journalism na BA Mass Com bongo! Kweli ukistaajabu ya Musa

Wapo wapi? Hao wanaoishia kuwa wakuu wawilaya? Katika dunia ya sasa BA, MA, Phd haina mana if you cant defend it by quality of what your delivering! We unakuwa mtangazaji wa eatv, clouds, utakuwa lini? Majungu tuu
 
Mimi mwenyewe kaka nimestuka kusikia jamaa anatafuta diploma! wakati kuna vijana kama 500 kila mwaka wanamaliza BA Journalism na BA Mass Com bongo! Kweli ukistaajabu ya Musa

Wapo wapi? Hao wanaoishia kuwa wakuu wawilaya? Katika dunia ya sasa BA, MA, Phd haina mana if you cant defend it by quality of what your delivering! We unakuwa mtangazaji wa eatv, clouds, utakuwa lini? Majungu tuu
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom