Saed Kubenea: Rostam kinara wa Dowans

Huyu kubenea ndio kanifanya nizidi kuchukia upinzani..sio wakweli..sitowaamini tena..bora niwe mwanaccm au neutral niishi bila stress za kisiasa..nilishakula bomu za machozi..sitapigwa tena
Kama unachukia wewe endelea kuchukia tu kama kawaida yako. After all sisi tunajinasi kwa raha zetu kwenda ikilu. Eboo?
 
Kama jk alishindwa kumtaja mmiliki moja kwa moja au mwakyembe alishindwa kuyaanika yote kwa ajili ya kunusuru taifa lisianguke unategemea kubenea angeamua kujifunga bomu?sasa kwa kuwa wameamua wenyewe kujilipua basi wacha vita ianze
 
Nnachojua raisi ni mwenyekiti wa baraza la mawaziri na mkataba wa richmond uliridhiwa na baraza la mawaziri lowassa aketakaje kuuvunja mkataba km ananufaika na kwa nn alipigwa stop

Alishasema kuwa jk ndiye anaye jua kila kitu
 

Ndio tayari limeshafunguliwa sasa
 
Huyu kubenea ndio kanifanya nizidi kuchukia upinzani..sio wakweli..sitowaamini tena..bora niwe mwanaccm au neutral niishi bila stress za kisiasa..nilishakula bomu za machozi..sitapigwa tena

Una akili mkuu...maana hata Mimi nikisoma makala alizoandika Kubenea na saaa wxnavyomkumbatia huyu waliyemchafua nasrma sfsdhali nichague Ccm kuliki UKAWA!! maana nsjua Ccm no wezi nao wanajua kuwa no wezina na wanajua kuwa ninajua kuwa ni wezi!!! Kuliko kuchagua wansojifanya watakatifu lakini ndani yao no mbwa mwitu wakali, unafiki na kutudanganya!!! Ndiyo maans nasema inawezekana Lowasa siyo fisadi kama Hawa wanagiki Wa chadema walivyotuaminisha!!! I swear I won't vote for ukawa!!!
 
Tangu lini ukawa kamanda wewe Gamba wewe.
 
chadema wamenitoka kabisa kama wapinzani, nadhani baada ya kushindwa uchaguzi huu watazidiwa na act kama chama kikuu cha upinzani bara.
haiingii akilini kufanyia kampeni pesa za rostam alafu unaahidi kuusanya kodi zaidi.
 
huyo kubenea siku hizi amekuwa kubinuka.
maana hazimtushi tena.


 
Mkuu sisi Watanzania bi viumbe wa aina yake. Tunaweza kuchezewa akili na wajanja kadri wanavojisikia

Juzi , kiongozi aliyepewa dhamana ya mali na watu wa nchi hii naye kajiunga katika treni la Richmond akilalamika

Kwamba, mwenye Richmond anaongozana na Lissu. Hapa kunasikitisha sana, hivi kweli kauli hii ilipaswa kutolewa na mtu aliyekabidhiwa nchi , mali na watu wake. Kwamba naye anapita akilalamika kama sisi

Pili, Watanzania wanaposema Richmond ni Lowassa, wangeenda mbali na kujiuliza.
Hivi Mwakyembe aliyesema mambo mengine ameyaacha kutoivua nguo serikali, aliacha nini? Hicho ndicho tunatakiwa tujue

Tatu, Sitta alizuia mjadala ule usirudiwe bungeni kuweka ukweli. Watanzania hawamuulizi kwanini alizuia

Nne, CCM wanaolalamika wamekaa na Lowassa huyu miaka yote kasoro miezi miwili iliyopita.
Hakuna mahali wamechukua hatua za kichama kutokana na tuhuma hizo tena wakiwa na serikali.

Walimchagua awe mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya taifa. Kamati nzito sana ndani ya bunge

CCM hao hao wakampitisha akawa mbunge. Na CCM hao hao wakampa nafasi ya kuchukua fomu

Leo CCM hao hao wanaiona Richmond kwa jicho chongo. Hawamuulizi mwenyekiti wa chama chao, anawaachaje na Richmond?

Nani wapo nyuma ya Richmond ? CCM wanaaminisha watu kuwa Richmond ni ya mtu na si mtandao mpana

Mkuu, nikuonyeshe jinsi Watanzania tunavyolaghaiwa na hawa watu.

Juzi Morogoro, YUsuph Mamkamba amesema Sumaye ni Kabaila kwasababu amenyang'anya watu mashamba na kujimilikisha

Huko nyuma, Yusuph akiwa katibu mkuu wa CCM na Mkapa akiwa Mwenyekiti, wananchi waliwahi kuuliza hilo swali

Mkapa akasema '...wanamwandama waziri mkuu wangu bila sababu''
Huyo aliyemtetea Sumaye ni mwenyekiti wa CCM akiwa na katibu mkuu wa CCM Bwana Mkamba

Leo Makamba ndio anaona tatizo. Ndivyo ilivyo Richmond. Wote walikuwemo leo wanatuaminisha wao ni wasafi na hilo ni zigo la Lowassa.

Hakuwambuki kuwa aliyeisafisha Richmond kupitia Dowans ni mwenyekiti wa CCM tena kijana wa Yusuph alipiga debe sana kupitia kamati ya nishati ya bunge.

Tusiangalie tulipoangukia, tuangalie tumejikwaa wapi. Richmond ina mikono mingi mizito , tunachezewa shere ili tubabaike na kuzungusha vidole haraka tukiaminishwa ni mazingaombwe
 
kubenea hawezi kuaminika tena ndan ya jamii.

Kaisha dhihirisha UKANJANJA WAKE ktk uandishi wa habari.
 

Wanadai wajanja waliotengeneza mkataba ulikuwa framed kiasi kwamba kutoka ingekuwa adhabu zaidi kwa serikari ndio sababu za ujio wa akina symbion kwa mgongo wa Richmond (pengine jina lilikuwa lina dowa sana ndio sababu za kubadili).

Nakubaliana na wewe kuna mengi zaidi ambayo ayajasemwa, lakini Lowassa lazima yuko nyuma na Rostam (awa ndio master minds); ushiriki wa JK kwa kudhania tu (assumption) utakuwa ni kuongopewa kiwanda cha umeme kinakuja going by the excitement akiona barabara mpya, majengo mapya ni mtu anaepanda physical legacy.

Kwa hivyo atakuwa anaijua Richmond inaweza kuwa alikuwa anataka kuwapa ulaji wa kishkaji kama tender zingine serikarini lakini wenzake walikuwa na mipango mingine huo ndio ushiriki naoweza mpa JK (through assumption).

Lakini sina shaka Lowassa na Rostam ndio kila kitu, JK sasa hivi anachezewa prisoner dillema na alichokijua awali tu kuwa watanzania wanaenda pata umeme bila ya kujua ill-motives za wenzake.
 
Nnachojua raisi ni mwenyekiti wa baraza la mawaziri na mkataba wa richmond uliridhiwa na baraza la mawaziri lowassa aketakaje kuuvunja mkataba km ananufaika na kwa nn alipigwa stop

Hujui chochote kuhusu Richmond basi. Haikuridhiwa na baraza la mawaziri! Uliza maswali usifanye assumptions!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…