LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,404
Kwa sasa chadema watajiunga watu wengi sana, hasa baada ya upande ule wa Kambi ya mbowe kukimbia chama...Anton komu ameshajiunga rasmi chademaSaed Kubenea wiki ijayo atatambulishwa rasmi Chadema.
Yeye pamoja na viongozi wengine waandamizi wa vyama mbalimbali watatangazwa rasmi wiki ijayo kama nilivyodokezwa jioni ya leo.
Yule mwamba wa kilimanjaro vijijini kasharudi......simkumbuki jinaSaed Kubenea wiki ijayo atatambulishwa rasmi Chadema.
Yeye pamoja na viongozi wengine waandamizi wa vyama mbalimbali watatangazwa rasmi wiki ijayo kama nilivyodokezwa jioni ya leo.
Anton komu alitofautiana na mbowe akasepeshwa chamaYule mwamba wa kilimanjaro vijijini kasharudi......simkumbuki jina
familia yake inakuhusu nini au unataka uwe mke mdogo mshangaziAmewahi kuweka uwazi gani kuhusu familia yake iliyopo ulaya na mipango waliyonayo na watu wa ulaya?!!!! Kama hajawahi basi nyumbu kaa kimya.
Mbona umepanic nyumbu?!!! Tunauliza tu tujue kuwa mwenyekiti wetu anayechukua nchi mwezi oktoba mbona anatunzwa ulaya?!!!!familia yake inakuhusu nini au unataka uwe mke mdogo mshangazi
Yeye pamoja na viongozi wengine waandamizi wa vyama mbalimbali watatangazwa rasmi wiki ijayo kama nilivyodokezwa jioni ya leo.📌🔨✌🏿Saed Kubenea wiki ijayo atatambulishwa rasmi Chadema.
Yeye pamoja na viongozi wengine waandamizi wa vyama mbalimbali watatangazwa rasmi wiki ijayo kama nilivyodokezwa jioni ya leo.
Mkuu ondoa shaka,chama ndo kimerudi kuwa chama...akuna asiejitambua pale....hakika wakati ni sasa.Chadema kiwe makini na mamluki wa CCM watakao letwa kuhujumu mabadiliko na kuanza kukipasua chama
Ikiwezekana Lissu akitoka aunde kamati ya watu very potential na waadilifu tofauti na kamati kuu kwa ajili ya kutunza Siri za chama!!
Hakuna haja ya kila mtu kuwa na access ya kila Jambo linaloendelea ndani ya chama
Hatutaki mambo ya kina Lowassa,Sumaye na Nyarandu kujirudia
Kwahiyo zile hela alizochukua kipindi kile anaondoka anazilejeaha au anaziweka kwenye tone tone?Saed Kubenea wiki ijayo atatambulishwa rasmi Chadema.
Yeye pamoja na viongozi wengine waandamizi wa vyama mbalimbali watatangazwa rasmi wiki ijayo kama nilivyodokezwa jioni ya leo.
Itakua ni ulofa katika siasa kujiunga na chama kisicho na agenda wala sifa za kikatiba kushiriki Uchaguzi.Saed Kubenea wiki ijayo atatambulishwa rasmi Chadema.
Yeye pamoja na viongozi wengine waandamizi wa vyama mbalimbali watatangazwa rasmi wiki ijayo kama nilivyodokezwa jioni ya leo.
Mpaka unajionea aibu!Itakua ni ulofa katika siasa kujiunga na chama kisicho na agenda wala sifa za kikatiba kushiriki Uchaguzi.
Thus useless and completely nonsense ndrugu zango 🐒
ni vizur kuwaonea huruma watu wa kukurupuka kilofa kama inavyodai tetesi kwamba kuna jitu lisilo na maono wala malengo ya kisiasa linajiunga kwenye chama ambacho haijulikani ni sacoss au chama cha kiraia kisicho na malengo ya kisiasa 🐒Mpaka unajionea aibu!
Sawa Mimi naitwa nyumbu..ila ndio hivyo sasa gari lililokuwa linasukumwa ,limewaka na dereva ndiye YEYE.Amewahi kuweka uwazi gani kuhusu familia yake iliyopo ulaya na mipango waliyonayo na watu wa ulaya?!!!! Kama hajawahi basi nyumbu kaa kimya.
Ni Kama Oxygen Tunayoivuta, Maji TunayokunywaKwa sasa Chadema Haikwepeki tena
Huyo sijawahi kumwelewa anasimamia wapi katika maswala nyeti ya chama.Saed Kubenea wiki ijayo atatambulishwa rasmi Chadema.
Yeye pamoja na viongozi wengine waandamizi wa vyama mbalimbali watatangazwa rasmi wiki ijayo kama nilivyodokezwa jioni ya leo.
Wewe Samia unamjuwa kivipi?Amewahi kuweka uwazi gani kuhusu familia yake iliyopo ulaya na mipango waliyonayo na watu wa ulaya?!!!! Kama hajawahi basi nyumbu kaa kimya.
EEEeeeenHEEEEEEeee!Njooni tukijenge chama.