Saed Kubenea alimsikiliza Rais kweli?

JINOME

JF-Expert Member
May 29, 2017
958
1,424
2018-01-04_18.32.35.jpg
 
Siyo mara yake ya kwanza. Nina wasiwasi na uelewa wake katika mambo yenye uhitaji wa elimu ya kutosha
Kuna siku alisema idadi ya watumishi wa umma walioachishwa kazi kwa kuwa na vyeti feki ni mamilioni. Huyu mtu pumbavu kabisa, akibanwa athibitishe zinaanza nyimbo za wapinzani kukandamizwa.
 
Kuna siku alisema idadi ya watumishi wa umma walioachishwa kazi kwa kuwa na vyeti feki ni mamilioni. Huyu mtu pumbavu kabisa, akibanwa athibitishe zinaanza nyimbo za wapinzani kukandamizwa.
Kuna mtunzi wa nyimbo na muimbaji huyo kubenea ni muimbaji tu
 
Back
Top Bottom