Magufuli is barbaric & sadistic in nature
hamna namna kuwafanya kitu, hawawezi kubadilika, ni kuwavumilia kuishi nao hadi pale Mungu atakapoitoa roho yao hapa duniani ili baadhi ya watu waishi kwa amani. Mungu huwa anasikia maombi lakini mjue. nao waishi wakijua hilo.Sasa tunawasaidiaje watu wa aina hii?
hahaha, sadist wengine wanafurahi yanga inavyokosa mfadhili baada ya manji kubwaga manyanga...hahahaha.atu wameumbwa na roho mbaya ajabu, wakikuona unaumia, unapata shida, huna kazi, huna pa kwenda, unapigwa etc, wanafurahi yaani roho yao hapo ndio ina furaha ajabu.
Hawa watu wapo hata humu, mtu hakujui anakuonaona tu lakini yupo busy na watu kakusanya kukuchukia
Mimama mibaba mizima hovyo Sana
[emoji2] [emoji2]hahaha, sadist wengine wanafurahi yanga inavyokosa mfadhili baada ya manji kubwaga manyanga...hahahaha.