Sadio Mané atangaza kustaafu kuichea Senegal

Sadio Mané atangaza kustaafu kuichea Senegal

Huku kwetu Kuna mchezaji analazimishwa asistaafu wakati hakuna chochote alichoichangia timu yake ya taifa zaidi ya kuididimiza na kuzibia rizki vijana damu changa wapate nafasi.
sema mbwana samatta acha uoga
 
Ametangaza kustaafu lakini itafika siku ataghaili kwa muda ili atumikie taifa.

Mi namtarijia kurudi kikosini muda sahihi ukifika.
Hata Messi alistaafu lakini tunamuona anapigania nchi yake.
Bora aachane na mpira akajikite kwenye ibada, ajenge misikiti n.k
 
Back
Top Bottom