Saddam Hussein na Quran

Saddam Hussein na Quran

Hakuna ukweli wowote hapo, hiyo imengenezwa tu!
Blood Quran - Wikipedia
Screenshot_2018-08-31-21-56-17.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante kwa ufafanuzi; kama alifanya hivyo, Mungu ndiye shahidi wa hilo.

Damu katika Uislam ni najisi. Ndiyo ipo mwilini mwako lakini ikishatoka ndani ya mwili wako inakuwa ni najisi. Ni sawasawa na kinyesi, kipo ndani ya miili yetu ila kikitoka nje kinakengeuka kinakuwa si sehemu salama ya sisi na najisi vilevile.

Ki' fiqhi damu inaingia katika najisi ya "Almutawassitwat" kwa maana ni najisi ya kati kwa kati, na kuna ahadith ya Mtume inasema " atakayesali pamoja na najisi haitoswihi sala yake" imma najisi iwe kwenye vazi, mahala unaposalia na kiwiliwili chako maadam hiyo imethibiti sala yako haitosihi.

Aisee! Sina cha kuendelea kujibu maarifa yangu ya dini ndiyo yameishia hapo. Ngoja nikawaulize wajuzi wanisaidie wanipatie na ushahidi kwa sababu suala uliloandika ni gumu(Qur'an kuandikwa kwa damu) na ugumu wake unakuja kwa sababu limejikita kwenye "Fiqhi" na fiqhi ni somo gumu si jepesi, ni sheria hiyo.
Nimefatilia kiasi cha damu ni 24–27 litres (50 to 57 pints) kwa kipindi cha miaka miwili ndio saddam alizitoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku bongo Kila mtu ni mtume, hivyo kwa Saddam Wala sishangai maana tunao mitume wengi Sana huku bongo.
No uamuzi tuu hata wewe unaweza uwe mtume hata kesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ma dikteta wana matatizo sana nadhani ni kwa sababu ya zile assasination attempt
Kwa mfano katika moja ya ziara yake msafara wake ulivamiwa akaponea chupu chupu alipotoka hapo akaagiza huo mji wote wabomolewe nyumba,wateswe n wauwawe

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio shida ya kukosa hata chembe ya imani unajikuta mungu mtu, unafanya mambo ambayo hata quraan wala mtume (s.a.w) hakufundisha na bado unajiita muislam tena ukijiona mbora zaidi ya wengine..

Tuishi tu mengine tutaenda kuyajua huko kwa muumba
 
Back
Top Bottom