Huelewi unachotetea. Unajua mwenyekiti wa troika ni nani?TOKA MAKTABA :
Jeshi imara la South Afrika tangu 2016 misheni zake Congo zimeshindwa pamoja na kuwa wana zana kali za kisasa :
View: https://m.youtube.com/watch?v=x6BYYyukjDIHii ๐๐๐ผ๐ฟ๐ ilirushwa mara ya kwanza ๐ญ๐ด ๐ฆ๐ฒ๐ฝ๐๐ฒ๐บ๐ฏ๐ฒ๐ฟ ๐ฎ๐ฌ๐ญ๐ฒ.
Akisindikizwa na helikopta maarufu ya Rooivalk mfano wa ngome yenye ulinzi uliosheheni silaha kali , Carte Blanche anasafiri hadi kambi ya kijeshi iliyotekwa hivi majuzi ndani ya misitu ya tropiki kaskazini mwa Beni katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
John Webb anapata ruhusa ya kipekee kuvifikia vituo vya mstari wa mbele vya jeshi la South Africa SANDF katika eneo maarufu la liliopachikwa jina la kuogofya la Pembe Tatu ya Mauti (Triangle of Death) katika Mkoa wa Kivu Kaskazini tunapowatembelea wanajeshi wetu walio mstari wa mbele katika vita dhidi ya waasi wa ADF.
Tunakutana na wanajeshi ambao uMauti umeshindwa kuchukua roho zao katika uwanja wa vita na vile vile katika majukumu muhimu ya usaidizi wa mapigano, na marubani wa SANDF wanaofanya kazi kama sehemu ya kitengo cha anga cha Umoja wa Mataifa ambao wamekuza sifa ya ustadi na ujasiri wa kufika maeneo haraka kupambana na adui.
Carte Blanche pia anakutana na Jenerali wa SANDF Derrick Mgwebi ambaye aliteuliwa kuongoza operesheni ya jumla ya Umoja wa Mataifa ya kulinda amani nchini DRC - ambayo bado ni Misheni kubwa zaidi ya kulinda amani duniani.
View: https://m.youtube.com/watch?v=x_SYts84EGM
Kwasasa hata Marekani haiwezi kushinda vita hii, M23 wamejichanganya raia ni vigumu jupigana na kwa kinga na ngao ya raiaHakuna jeshi lililowahi kushinda vita vinavyopiganwa maelfu ya kilometa kutoka nchi yake, kwanza ni gharama kubwa na pili uwanja wa vita hautabiliki.
Yaani utoe wanajeshi wako kwenye uwanja wa vita baada ya kushindwa Kisha uende kujipanga tena kurudi kupigana ? Gharama hizo anabeba nani?Hapo wanachofanya ni kuwatoa wanajeshi wao na zana na baada ya hapo mpango mpya unaanza. SADC haiwezi kuwaacha watutsi wa Rwanda waisumbue Congo.
Kwani tactical retreat maana yake nini?Yaani utoe wanajeshi wako kwenye uwanja wa vita baada ya kushindwa Kisha uende kujipanga tena kurudi kupigana ? Gharama hizo anabeba nani?
hao sio rahisi kurudi tena. ila izo sehem ziangaliwe aisee naona warundi wanaongelea vita ya ukanda. sijui wanaota au kuna kitu wameshakiona.Yaani utoe wanajeshi wako kwenye uwanja wa vita baada ya kushindwa Kisha uende kujipanga tena kurudi kupigana ? Gharama hizo anabeba nani?
Huwezi kuwazia tactical retreat baada ya kushindwa lengo kuu la vita. Retreat ilitakiwa kufanyika mwezi wa pili wakati M23 walipoamua kuiteka Goma na Sake ambapo ndio ngome ya SADC... Badaลa yake walizidiwa na matokeo yake ni kunyoosha bendera nyeupe.... Unaelewa maana yake ni nini... Kushindwa vita!Kwani tactical retreat maana yake nini?
Hawa SADC hawatokubali mkuu, wanamvutia pumzi M23, wakishapata intel ya kutosha na mbinu, ni week moja tu M23 wanaondoka.Huwezi kuwazia tactical retreat baada ya kushindwa lengo la vita kuu. Retreat ilitakiwa kufanyika mwezi wa pili wakati M23 walipoamua kuiteka Goma na Sake ambapo ndio ngome ya SADC... Badaลa yake walizidiwa na matokeo yake ni kunyoosha bendera nyeupe.... Unaelewa maana yake ni nini... Kushindwa vita!
Plan kuu ya SADC ilikuwa kuwashambulia M23 kule misituni kwa mabomu ya grad na kuwafuatilia M23 kutokea angani kwa ndege vita za DRC na RSA. Tanzania warusha mabomu ya hatari hadi M23 wakalalamikia kitendo cha Tanzania ndani ya SADC kutumia silaha kali hivyo kwa watu wanaodai haki yao kutoka kwa Serikali yao.
Matokeo yake M23 walibadilisha mbinu na kuamua kuhama misituni ambapo ingekuwa rahisi kuteketezwa bila kujitetea, wakaamua kuuteka mji wa Goma, ambao kimsingi ni mji uliounganika na mji mwingine wa Rwanda uitwao Gisenyi. M23 walitoa taarifa ya kuja kuuteka Goma ndani ya masaa 48.... Hawa SADC walishitukizwa na hata wale mercenaires wa ulaya walijikuta wako kwenye vita kamili bila kujiandaa.....
Mpango wowote wa kurudi DRC kutatua mgogoro wa mashariki ya Congo kwa kutumia silaha hauwezi kufanikiwa. Ili kuwang'oa M23 ndani ya mji wa Goma itabidi kuibomoa Goma yote kama inavyofanya Israรซl kule Gaza...
Hili sidhani kama Kagame atakaa tu akiangalia jinsi mji wake wa Gisenyi ambao umeunganika na Goma ukiteketea bila kujibu mapigo.... Tanzania tuache kucheza mchezo huu wa hatari kwani utatugharimu sana.
Na hapa ndipo lilipo tatizo! Warundi wana ubaguzi wao wa asili kati ya watusi na wahutu, na upuuzi huu unaendelezwa na Rais wa sasa wa Burundi dhidi ya Rwanda ambao wanajitahidi sana kutoruhusu mambo haya ya ubaguzi wa ukoo.hao sio rahisi kurudi tena. ila izo sehem ziangaliwe aisee naona warundi wanaongelea vita ya ukanda. sijui wanaota au kuna kitu wameshakiona.
Mkuu SADC ni ushirikiano wa kikanda unaogharamiwa na kodi zetu wananchi au rasilimali za nchi mwanachama. Mpaka sasa wamejiingiza katika vita ambavyo havikuwa na sababu, hizi gharama za vita ni kutoka kwenye mifuko yetu, ndio maana raia wa RSA wameshinikiza jeshi lao liondoke DRC.... Wewe unasema watarudi kwa bajeti gani?Hawa SADC hawatokubali mkuu, wanamvutia pumzi M23, wakishapata intel ya kutosha na mbinu, ni week moja tu M23 wanaondoka.
M23 na wao wanaelewa wangefanya hivyo pasingekalika..Mkuu SADC ni ushirikiano wa kikanda unaogharimiwa na kodi zetu wananchi au rasilimali za nchi mwanachama. Mpaka sasa wamejiingiza katika vita ambavyo havikuwa na sababu, hizi gharama za vita ni kutoka kwenye mifuko yetu, ndio maana RSA wameshinikiza jeshi lao liondoke DRC.... Wewe unasema watarudi kwa bajeti gani?
Kwanza washukuru tu kuwa M23 wamewaruhusu waondoke na Silaha walizoingia nazo, vinginevyo wangekaza silaha zote SADC na FRDC ni mali ya M23 baada ya kushinda vita.
Mkuu, nikusanue kitu?... Mpango mzima ni tamaa tu ya utajiri, uwepo wao kule ni pesa inayolipwa na UN. Angalia video ya ugeni wa M23 kwenye kambi ya SAMIDRC1 utagundua kitu walikokuwa serious kwenye hili ni kina nani....M23 na wao wanaelewa wangefanya hivyo pasingekalika..
Mimi nionavyo SADC hawajakaza, walijitokeza kuonyesha tu wameshiriki kuipambaia DRC kama mwanachama mwenzao tokana na makubaliano ya umoja huo.
Mkuu, nikusanue kitu?... Mpango mzima ni tamaa tu ya utajiri, uwepo wao kule ni pesa inayolipwa na UN. Angalia video ya ugeni wa M23 kwenye kambi ya SAMIDRC1 utagundua kitu walikokuwa serious kwenye hili ni kina nani....
Ina maana msimu huu itakuwa hawajapata pesa ya kutosha kutoka kutoka UN, ina maana hili suala lina connection ya moja kwa moja na uongozi wa Trump/siasa za US..Mkuu, nikusanue kitu?... Mpango mzima ni tamaa tu ya utajiri, uwepo wao kule ni pesa inayolipwa na UN. Angalia video ya ugeni wa M23 kwenye kambi ya SAMIDRC1 utagundua kitu walikokuwa serious kwenye hili ni kina nani....
Mkuu vita inapangwa na lengo kuu ni kumshinda adui Ili kulinda maslahi ya taifa lako, ndio maana watu wanajitoa kufa. Kwenye hii issue ya DRC, aliyetayari hata kufa, ni M23 ndio lengo lao ni kushinda kwa gharama yoyote maana wana maslahi pale....Ina maana msimu huu itakuwa hawajapata pesa ya kutosha kutoka kutoka UN, ina maana hili suala lina connection ya moja kwa moja na uongozi wa Trump/siasa za US..
Nakubaliana na wewe, ukiwepo msukumo, iwe fedha, mali n.k sidhani kama SADC watazidiwa na hao M23...
Hakuna maslahi lakini M23 inaleta tishio kiusalama katika ukanda huu..Mkuu vita inapangwa na lengo kuu ni kumshinda adui Ili kulinda maslahi ya taifa lako, ndio maana watu wanajitoa kufa. Kwenye hii issue ya DRC, aliyetayari hata kufa, ni M23 ndio lengo lao ni kushinda kwa gharama yoyote maana wana maslahi pale....
Naomba unitonye maslahi ya SADC kupitia SAMIDRC1, wana maslahi gani hasa hadi kufikia hatua ya askari wake kuifia DRC? ๐ค
Mkuu SADC waliwahiwa na shabulio la kushitikiza kabla hata hawajatekeleza mpango wao wa mashambulizi. Nina hakika kama wasingenyoosha bendera ingekuwa kilio kikubwa kwa SADC.Ina maana msimu huu itakuwa hawajapata pesa ya kutosha kutoka kutoka UN, ina maana hili suala lina connection ya moja kwa moja na uongozi wa Trump/siasa za US..
Nakubaliana na wewe, ukiwepo msukumo, iwe fedha, mali n.k sidhani kama SADC watazidiwa na hao M23...
Hapana mkuu, fuatilia vizuri utaona M23 ni raia wa Congo wanaobaguliwa na kuuawa kikatili bila kusikilizwa. Jiulize kabla ya wakoloni kuigawa Afrika ina maana watu hawakuwepo na tawala za asili?Hakuna maslahi lakini M23 inaleta tishio kiusalama katika ukanda huu..
Hata kama M23 wangewamaliza hapo, haikuwa mwisho kwa SADC kupambana zaidi na zaidi, labda hawakutaka kuendelea na vita kwa kipimo cha faida itakayopatikana dhidi ya gharama watakazotumia.Mkuu SADC waliwahiwa na shabulio la kushitikiza kabla hata hawajatekeleza mpano wao wa mashambulizi. Nina hakika kama wasingenyoosha bendera ingekuwa kilio kikubwa kwa SADC.
Kwang mimi naichukulia tofauti kidogo..Hapana mkuu, fuatilia vizuri utaona M23 ni raia wa Congo wanaobaguliwa na kuuawa kikatili bila kusikilizwa. Jiulize kabla ya wakoloni kuigawa Afrika ina maana watu hawakuwepo na tawala za asili?