Sadc:tanzania imeamua kuipooza malaria

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
nimeshtushwa sana kwa tanzania kutokuwepo kwenye list ya mradi wa kuangamiza malaria wa sadc,umoja huo umeteua windhoek namibia kuwa makao makuu ya mradi huo.msemaji wa sadc alisema lesotho imeshaangamiza malaria,tanzania imekataa kujiunga ktk mradi huo kwa kuwa imeamua kupooza control malaria sio kuiangamiza kabisa!my note kweli serikali letu halina huruma na raia wake ndio maana majuzi wamegawa vyandarua vilivyotengenezwa na muhindi wa arusha,kwa maana nyingine miradi ya malaria tanzania ni ufisadi mtupu hakuna nia ya kuumaliza ugonjwa huo:source bbc swahili
 
Mkulu weka chanzo cha habari hii vizuri..... ili tujue kwa undani......
 
wakiangamiza si watakosa ulaji!!???
hela za semina
hela za utafiti
hela za vyandarua uchwara
yaani viongozi wetu vichwa vya wendamzimu
 
Back
Top Bottom