SADC countries condemn Rwanda for supporting DRC rebels!!

Hapo ndipo unapokuja ugumu wa regional cooperations. Kwenye EAC Rwanda ni ndugu zetu, linapokuja swala la SADC ndugu zetu ni Kongo. Akili kichwani...

Mkulu hapo usiumie kichwa.... siku zote mkorofi ni wa kuadabishwa..... hata ukiwa na ndugu zako wanagombanna yulee mkorofi ndiyo annapewa nidhamu ili asirudie kuharibu amani ya familia kama si ya ukoo....
 
Wacha1,

..Tanzania ndiyo chairman wa SADC troika on defence.

..kwa kweli tuna kibarua kizito considering kuwa Rwanda ni mwanachama mwenzetu ktk EAC.

..subiri tusikie Raisi Guebuza ataleta majibu gani baada ya kutembelea Rwanda.

..lakini naamini hiki ni kipindi kibaya kabisa kidiplomasia kwa upande wa Rwanda.

..siku zote Rwanda has been viewed as the role model for African nations, sasa kitendo cha kulaaniwa na UN halafu tena na nchi za Kiafrika kwa kweli kimeitia doa nchi hiyo.
 
this is just a witch hunt by western nations on kagame by pressuring SADC to condenm kagame. step back and look at it from a more rational perspective why would kagame knowing full well that he is being watched by the international community support some rebel group that has no benefit to him. i suspect this is france's doing as we all know kagame has a love-hate relationship with them if the westerners want you gone they will create some story to remove you look at iraq with the WMD fiasco, look at iran and the present sanctions which is affecting everyone to the extent iran doesn't have foreign cash reserves to import anything. i think tanzania should not fall into this trap and condemn their brothers. As for kenya they should stay neutral so should uganda
 

I dont believe any well informed peace loving individual can write just half of what you have done on Kagame. Despite all that he has done for his country, Kagame is well known for his undemocratic and war loving tendencies.Pasteur Bizimungu, Victoria Ingabile and Gen Kayumba Nyamwasa are only a few examples of Kagame's dictatorship and brutality.

I urge Tanzania's leaders along with other SADC leaders to condemn Kagame for his aggression on the DRC land. Kagame is funding the m23 rebels just the way he did to Laura Nkunda's rebel group which his country is yet to hand him over to the DRC authorities for reasons best known to everybody.
 

Unapozungumza kuhusu peace loving unaongea kuhusu zile shughuli kutoka 1998 zilizo tekelezwa na SADC members...The only difference kagame was not on the spotlight. Tusipotazama DRC itageuka another Somalia, halafu hao SADC na wenzao wakishaharibu na kuondoka, kenya itawajibika kuingia na kurejesha amani na hali ya kawaida.

Somalia ilipoharibika 1993 sio kwamba walioiharibu hawakufahamu kuwa somali ilikuwa na mali asili/natural resources. Mfano gesi, mafuta. Lakini kenya imeingia na kurejesha amani Somalia, kuleta hata mabadiliko mpaka katiba mpya imeandikwa na kwa mara ya kwanza uchaguzi wa KIDEMOKRASIA unafanya Somalia ukilinganisha na MAOIST policy inayolazimishwa DRC na SADC under chairmanship of TZ. Hiyo tu ndio tofauti ya SADC na kenya.

Kudos kenya, watakapoharibu DRC hawa SADC na kupotea...Shughuli itabaki tu kenya kuingia na kurejesha amani na hali ya kawaida DRC. kwa Sasa SADC members enjoy the playground as you like with your activities.
 
Wakuu nisaidieni, what are the motives za Kagame kuleta hizi chokochoko?
 


Pumba.
 
Wakuu nisaidieni, what are the motives za Kagame kuleta hizi chokochoko?

Mkuu Rwanda ni nchi ndogo sana kieneo, na population density yake ni kubwa sana - wakati mwingine huwa awataki Wanyarwanda walio kimbilia nchi za nje warudi kwao kwa sababu ya ukosefu wa aridhi ya kutosha, vile vile Kagame anajuwa fika kwamba Wahutu na WATWA wote wakirudi RWANDA kuna uwezekano mkubwa kuondolewa madarakani yeye na chama chake kwa hiyo matokeo yake anajihami masaa YOTE, anajuwa hayuko salama hata kidogo siyo kwa Wahutu tu hata Watutsi wenzake walio kuwa naye jeshini wakakimbilia nje baada ya kutoelewana naye kikazi.

Kwa kifupi chokochoko zake zinatokana na sababu kuu tatu: Sababu ya kwanza ni ARIDHI, wana mkakati wa kutafuta kisingizio cha kumega sehemu ya aridhi ya jirani zake - Jimbo la KIVU in particular: Sababu ya pili ambayo actually ndio ingekuwa ya kwanza, inahusu usalama wake na chama chake, ana wasi wasi sana na Wanyarwanda ambao wako uhamishoni hasa hasa Wahutu na Watutsi wanajeshi walio muhasi, anajuwa wakirudi Rwanda hana CHAKE tena :Sababu ya mwisho ni ndoto zao za siku nyingi za kutaka kuanzisha HIMA EMPIRE katika Great Lakes mawazo hayo bado wanayo HAYAJAFA. Onyo alilopewa na Viongozi kusini mwa Africa si bure hata nchi za Magharibi zimekwisha mshitukia hila kuna Wafrica wenzetu wenye mawazo ya mgando au wanao tumia msemo wa your imaginary enemy is my ENEMY wajifanya kumtetea bila kujuwa kwamba jamaa huyu ni hatari sana in East and central Africa akihanzisha vita vyake na agenda zake za siri hakuna ambaye atasalimika, Dunia nzima haiwezi kuwa inamsingizia bure Kagame - kuna KITU, mwenye macho ahabiwi TAZAMA. Mimi mchango wangu ndio huo mkuu.
 
Asante mkuu, sasa kuhusu ardhi; you mean ana malengo ya kutwaa sehemu ndogo ya North DRC?
 
Asante mkuu, sasa kuhusu ardhi; you mean ana malengo ya kutwaa sehemu ndogo ya North DRC?
 
Asante mkuu, sasa kuhusu ardhi; you mean ana malengo ya kutwaa sehemu ndogo ya North DRC?

Mkuu, his ambition goes beyond North DRC and is not alone - M7 got hands in IT, umewahi kujihuliza hivi kwa nini inapotokea uvamizi wa majeshi ya Rwanda sijuhi Ntaganda sehemu ya KIVU unakuta na mpaka wa Uganda na Congo uvamizi unaibuka tena! Je hii ni bahati mbaya au nini?

Nakwambia kinacho leta kuogopa kuivamia Congo kikamilifu ni majeshi ya Zimbabwe kikosi kilicho funzwa na Korea ya kaskazini, vile vile na jeshi la Angola. Kagame na Mseveni wanajuwa fika uwezo mkubwa wa Kijeshi la Zimbabwe na Angola ndio maana wanaishia kuleta vurugu vurugu mipakani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…