Sad News

Ahahahah,acha uchawi mkuu
Kweli mkuu, tumetapakaa mtaani kiasi kwamba kwenye mishe zetu za kutafuta tonge tunakutana na wale wanafunzi wetu waliokuwa wanatuamiia kwa heshima tukiwa tumechakaa mpk ile shikamoo tena wanajistukia kuitoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…