'Sad birthday' E. Lowassa...!

'Sad birthday' E. Lowassa...!

Mwacheni mzee wa watu apumzike bana..umasikinicwako binafsi usimlaumu lowassa
 
Mwacheni mzee wa watu apumzike bana..umasikinicwako binafsi usimlaumu lowassa

utajiri wako au wa lowasa ili hali watanzania wanateketea kwasababu yao hauna maana hata kwa mwenyezi Mungu bora uwe masikini tu lakini uishi kwa amani Lowasa kuna mji hawezi thubutu kukatiza watampopoa mawe na wakiiogopa serikali watamzomea..
 
Akiwa raisi lowasa sis wamalawi tutaenda kupigania ziwa letu
 
namtakia maisha marefu zaidi, hivi aliiba au aliwajibika kwa amri alizotoa
za umeme wa dharura? angekuwa waziri mkuu hadi leo tungefika mbali
sio sawa na huyu mzee wa kulia lia hovyo hovyo bungeni
tumwombee ili ashuhudie mabadiliko
Ombea adui yako - YouTube
 
unajua kwanini kikwete alifanikiwa kuwa raisi tena kwa zaidi ya asilimia 80? safari michezo yao tunazijua waanzishe magazeti wafungue radio station watakavyo lakini watanzania tuko macho mwambie akatize A town,shy,mwanza,mbeya..labda atakwa raisi wa wewe na mmeo..
Sema CDM mko macho sio watanzania, Lowasa atachaguliwa na watanzania tena wa miji hiyo hiyo ulio itaja. Mwisho wa maneno ni kwenye sanduku la kura. Hata kura yako itakua ya Lowasa, upende usipende.
 
Huyu ndio atakuwa rais wako 2015 na ndio atawashikisha adabu nyie gwandaz. Sijui mtakimbilia wapi.
Kama ndo hivyo kwanini msimkabizi ufunguo wa Ikulu sasa hivi; hamna kwamba Nnape anaipeleka nchi kubaya????
 
Namtakia maisha marefu Ed Lowasa,
Ashuhudie M4C inavochukua nchi 2015,
He should live long enough to be prosecuted for crimes against humanity,
For killing and disabling millions,
Long enough but painful life behind bars.
Happy Birth day Lowasa.
prod_668_25087.gif

cahdema ikichukua nchi 2015 nakunya JF
 
Back
Top Bottom