Ni kweli kamanda Mwesiga amefariki dunia leo alasiri. Inasemekana alianza kuumwa baada ya kula chakula kinachosadikiwa kuwekewa sumu. RIP kamanda Josiah Mwesiga!
Rest In Peace Kamanda! Serikali tawala itumie 2bilion kuunda tume ya uchunguzi!
Ambapo Report ya Tume hata haitatangazwa kwa umma!Rest In Peace Kamanda! Serikali tawala itumie 2bilion kuunda tume ya uchunguzi!
Bora ingekuwa Ahmed Msangi, anyway mungu aiweke roho yake mahali stahili.
Mara mia ungekuwa wewe, R.I.P Judgement.Au bora ungekua wewe!