Sabuni nzuri kwa kufulia vitenge na nguo za ndani

Sabuni nzuri kwa kufulia vitenge na nguo za ndani

josepher

Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
70
Reaction score
14
SABUNI NZURI KWA VITENGE NA NGUO ZINAZOCHUJA AU KUPAUKA:
HAICHUBUI WALA KUPAUSHA NGOZI YA MIKONO YAKO
Natucare ni sabuni nzuri sana kwa ajili ya kufulia vitenge au nguo ambazo zina kawaida ya kuchuja au kupauka haraka. Sabuni hii haina kemikali ambazo husababisha nguo kupauka.
Vile vile inalainisha nguo, ni nzuri pia kwa ajili ya nguo za ndani.
Aidha sabuni hii ni nzuri kwa usafi wa bafuni, jikonipamoja na kuoshea vyombo. Sabuni ina marashi mazuri ambayo hubakia kwenye nguo.
Ujazo wa sabuni hii ni 350mls ambao unafua nguo zaidi ya 25.

WASILIANA NASI KWA NUMBER 0755-522018 TUPO MWENGE KARIBU NA TRA
 

Attachments

  • 1176352_367215410072494_1644108390_n.jpg
    1176352_367215410072494_1644108390_n.jpg
    73.8 KB · Views: 138
umesema vitenge na nguo za ndani?
Nguo za ndani kama pichu?
 
Back
Top Bottom