Sabubu za kuongezeka deni la taifa

Sabubu za kuongezeka deni la taifa

kahembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Posts
308
Reaction score
391
Kwa thamini yangu haya ndo mambo yanayapelekea deni la taifa liwe kubwa.

1. Ukosefu wa ueledi wa viongozi wetu. Maana viongozi wengi Wana upeo ndogo kwenye maswala ya kiuchumi.

2.Rushwa imekishamili sana kwenye Sekta mbalimbali za serikali hakuna mradi wa serikali ambapo unafanyika bila Rushwa Kila mara CAG anatoa ripoti yake Kila Kona Kuna upigaji

3.Ubinafsi na kukosa uzalendo.. hapa naongelea viongozi wetu siyo wazalendo hata kidogo Kila mtu akipata nafasi anatanguliza maslahi yake mwenyewe au ukanda wa kwao Mfano BOHARI KUU YA DAWA KUJENGWA sehemu fulani Kwa sababu ya ilo eneo Kuna kiongozi mkubwa...

Soma Pia: Serikali: Deni la taifa lafikia Tsh. Trilioni 107 ikiwa ni ongezeko la 14.9%

4. Kuwa na miradi isiyokuwa na tija Kwa Taifa.
 
Deni lilikua Trillion 97 nani tena kakopa dk za mwisho ,
mangekimambi80-20250613-0001.jpg
 
Kwa thamini yangu haya ndo mambo yanayapelekea deni la taifa liwe kubwa.

1. Ukosefu wa ueledi wa viongozi wetu. Maana viongozi wengi Wana upeo ndogo kwenye maswala ya kiuchumi.

2.Rushwa imekishamili sana kwenye Sekta mbalimbali za serikali hakuna mradi wa serikali ambapo unafanyika bila Rushwa Kila mara CAG anatoa ripoti yake Kila Kona Kuna upigaji

3.Ubinafsi na kukosa uzalendo.. hapa naongelea viongozi wetu siyo wazalendo hata kidogo Kila mtu akipata nafasi anatanguliza maslahi yake mwenyewe au ukanda wa kwao Mfano BOHARI KUU YA DAWA KUJENGWA sehemu fulani Kwa sababu ya ilo eneo Kuna kiongozi mkubwa...

Soma Pia: Serikali: Deni la taifa lafikia Tsh. Trilioni 107 ikiwa ni ongezeko la 14.9%

4. Kuwa na miradi isiyokuwa na tija Kwa Taifa.
Rushwa imekishamili sana kwenye Sekta mbalimbali za serikali hakuna mradi wa serikali ambapo unafanyika bila Rushwa Kila mara CAG anatoa ripoti yake Kila Kona Kuna upigaji📌🔨
 
Wabunge wenyewe butu, hata kuhoji namna ya kumdhibiti rais asikope kupita uwezo, wao wamekalia kusifu tu mapambio. Kigezo cha kugombea ubunge ujue kusoma na kuandika, haya sasa matokeo yake ndio haya
 
Kwa thamini yangu haya ndo mambo yanayapelekea deni la taifa liwe kubwa.

1. Ukosefu wa ueledi wa viongozi wetu. Maana viongozi wengi Wana upeo ndogo kwenye maswala ya kiuchumi.

2.Rushwa imekishamili sana kwenye Sekta mbalimbali za serikali hakuna mradi wa serikali ambapo unafanyika bila Rushwa Kila mara CAG anatoa ripoti yake Kila Kona Kuna upigaji

3.Ubinafsi na kukosa uzalendo.. hapa naongelea viongozi wetu siyo wazalendo hata kidogo Kila mtu akipata nafasi anatanguliza maslahi yake mwenyewe au ukanda wa kwao Mfano BOHARI KUU YA DAWA KUJENGWA sehemu fulani Kwa sababu ya ilo eneo Kuna kiongozi mkubwa...

Soma Pia: Serikali: Deni la taifa lafikia Tsh. Trilioni 107 ikiwa ni ongezeko la 14.9%

4. Kuwa na miradi isiyokuwa na tija Kwa Taifa.
Uko sahihi kabisa, hatuna viongozi wanaojuwa wanachokifanya na ndiyo maana wakikosolewa tu suluhisho lao ni kuteka, kutesa, na kuua.
 
Back
Top Bottom