mbatombato
JF-Expert Member
- Jun 25, 2016
- 441
- 245
Da!!!! Kwa kweli mla ganda wa Leo chungu kaona kivuno!!!
Unataka kuwadanganya Chagadema wenzio? ??? Hujui sababu????
ALIWAAMBIA MTOE FEEDBACK YA PESA ALIZOTOA KUCHIMBA VISIMA KWENYE MAJIMBO MLIYOKUWA MMESHINDA 2010...MKASHNDWA!!!! MAANA MWENYE CHAMA ALIZIPIGA NUSU YAKE....MLITAKA AWAAMINI TENA KATIKA LIPI??????
Inshu ya kwamba kwenye list ya Forbes hayupo LEO NDO MNALIJUA??? BAADA YA KUWAPIGA CHINI??? Alipokuwa anawafadhili alikuwa namba ngapi???,, mbona mlimuita Tajiri by then?????
Huwa mnamuita Ndesamburo kuwa ni tajiri Ndesapesa...ni namba ngapi Forbes?,
Vipi Lowassa ni namba ngapi Forbes???
Mbowe ni namba ngapi Forbes???
My Take:- Badiliken enyi wenye ndimi mbili..ndo maana kwa sasa mnamponda Dr Slaa simply kaonyesha msimamo wake...Yan kila anayekuwa kinyume na ninyi ni msaliti..mara shetan mara nini...HAMNA JEMA HATA MOJA
Yani kwa Jinsi Mzee Sabodo alivyowapiga jeki ninyi ndo wa kuanza kumtusi na kumdhalilisha!!!!!! Hiyo laana haitawaacha wallah!!!!!
Daaahh!! mkuu umenisababisha nimelisoma bandiko lako huku nimesimama..
Watoto wa uswahilili tunasemaga BBBAAAAANGGGG!!!!! Umeuaaa!!!
yaani umewadoondoshea Jabali la utosi...
hawana maana kuliko mzoga... ndimi mbili hao kama nyoka!! wanajua tu kushikiswa ukuta na mwenyekiti hawana la zaidi