Sabodo chuo cha siasa CHADEMA kilikushinda utaweza kutoa trilion 10?

Da!!!! Kwa kweli mla ganda wa Leo chungu kaona kivuno!!!
Unataka kuwadanganya Chagadema wenzio? ??? Hujui sababu????
ALIWAAMBIA MTOE FEEDBACK YA PESA ALIZOTOA KUCHIMBA VISIMA KWENYE MAJIMBO MLIYOKUWA MMESHINDA 2010...MKASHNDWA!!!! MAANA MWENYE CHAMA ALIZIPIGA NUSU YAKE....MLITAKA AWAAMINI TENA KATIKA LIPI??????
Inshu ya kwamba kwenye list ya Forbes hayupo LEO NDO MNALIJUA??? BAADA YA KUWAPIGA CHINI??? Alipokuwa anawafadhili alikuwa namba ngapi???,, mbona mlimuita Tajiri by then?????
Huwa mnamuita Ndesamburo kuwa ni tajiri Ndesapesa...ni namba ngapi Forbes?,
Vipi Lowassa ni namba ngapi Forbes???
Mbowe ni namba ngapi Forbes???

My Take:- Badiliken enyi wenye ndimi mbili..ndo maana kwa sasa mnamponda Dr Slaa simply kaonyesha msimamo wake...Yan kila anayekuwa kinyume na ninyi ni msaliti..mara shetan mara nini...HAMNA JEMA HATA MOJA
Yani kwa Jinsi Mzee Sabodo alivyowapiga jeki ninyi ndo wa kuanza kumtusi na kumdhalilisha!!!!!! Hiyo laana haitawaacha wallah!!!!!

Daaahh!! mkuu umenisababisha nimelisoma bandiko lako huku nimesimama..
Watoto wa uswahilili tunasemaga BBBAAAAANGGGG!!!!! Umeuaaa!!!
yaani umewadoondoshea Jabali la utosi...

hawana maana kuliko mzoga... ndimi mbili hao kama nyoka!! wanajua tu kushikiswa ukuta na mwenyekiti hawana la zaidi
 
Ni sahihi mkuu..ujue wanaudhi hawa watu yani
Halafu ndo eti walitaka kuchukua nchi kuongoza...what a shame!!!!!
Hawatakiwi hata kidogo kumkejeli Mzee Sabodo hata kidogo
 
Hakuna muhindi mzalendo nchii hii.
Huyo Sabodo ni opportunist tu.
 
Kwa wasiomfahamu huyu mzee alikimbia nchi kwa miaka mitatu wakati ule wa vita ya wahujumu uchumi iliyoasisiwa na Marehemu Sokoine, jee ni nini kilimkimbiza? Alirudi baada ya Moringe kufariki .
 
1470225238300.jpg
 
Trilioni 10 azitoe wapi? Sabodo ni tajiri namba ngapi kwenye forbes list? Mgombe urais wa marekani Donald Trump na utajiri wake wote hiyo trilioni 10 hana na yuko namba 324 duniani! Dangote na utajiri wake wote anakadiriwa kua na trilioni 30! sasa huyu utajiri wake ni kisi gani hadi akawekeze trn 10?
Mimi simlaumu huyu mzee, tatizo umri alionao ndy maana anafanya mambo ya ajabu ajabu. Naikumbuka ahadi ya chuo cha siasa aliyowapa chadema sijui iliishia wapi
 
Huyu Mzee Sabodo naona anaanza kupoteza 'memory'.. Dola Bilioni 5?
Hii ni karibu 80% ya makusanyo yote ya TRA ya mwaka.
Hii ni karibu 10% ya GDP ya Tanzania.
Hii ni karibu 40% ya Bajeti ya Tanzania ya 2016/17.
Hii ni bajeti ya shughuli za maendeleo ya 2016/17.
Kujenga bomba la Gesi la Mtwara-Dar lilikuwa Dola Bilioni 1.2 na ilibidi nchi ikope kutoka benki ya Exim ya China
kwa marejesho ya miaka 30..o_O..
Nafikiri alimaanisha Dola milioni 500..
 
Ni sahihi mkuu..ujue wanaudhi hawa watu yani
Halafu ndo eti walitaka kuchukua nchi kuongoza...what a shame!!!!!
Hawatakiwi hata kidogo kumkejeli Mzee Sabodo hata kidogo
Yaani tungekosea kidogo tuu!! tukawapa nchi hawa wenye roho za kishetani leo hii tungelia na kusaga meno!!!

Kweli Mungu yupo na kamwe hamtupi mja wake..
Kama ambavyo amekua akiyalinda na kuyatetea mataifa yake teule vivyo hivyo ametenda kwa kuilinda na kuitetea Tanzania isiangukie mikononi kwa ma ibilisi wa UKIWA..

Kama leo wameweza kuwadhihaki na kuwatukana waliokua pamoja nao na kula nao meza moja kisa tu wametofautiana mtazamo.. sipati picha wangeudhihaki, kuutukana na kuunyanyasa umma wa watanzania kiasi gani endapo wangepewa nafasi ya kuongoza..

Kimsingi kama wanashindwa kuwa na stara na staha na watu wachache wanaotofautiana nao hatimaye wanafikia kuwadhihaki na kuwatusi, vipi wangeweza ku handle pressure ya kutofautiana kimitazamo na mamilioni ya watanzania??

Sabodo ni mtanzania na raia wa kawaida kabisa ila aliyejaaliwa ukwasi wa kutosha lakini leo hii wanathubutu kumdhihaki na kumtukana kisa kabadili msimamo wake dhidi yao....
Je mimi na wewe tusio na ukwasi kama Sabodo wangetufanyajee?? Si wangeweza kutufukuza hata nchi ama kutuchimbia kaburi watuzike wazima wazima!!!
Nina mashaka sana na watu hawa...
Wana kila aina na dalili ya mawakala wa shetani..
 
Kwa wasiomfahamu huyu mzee alikimbia nchi kwa miaka mitatu wakati ule wa vita ya wahujumu uchumi iliyoasisiwa na Marehemu Sokoine, jee ni nini kilimkimbiza? Alirudi baada ya Moringe kufariki .
Oky.. sawa unayoyasema tufanye assumption kwamba ni sahihi...
Vipi kuhusu ninyi kupokea na kuzifurahia pesa zake wakati akiwa anawasupport??
Ama zimebadilika ghafla na kuwa pesa chafu baada ya kuwakataa??

haki ya nani vile umenikumbusha stori ya ""Sizitaki Mbichi"" hizi darasa la tatu
1470228176799.jpg
 
Kwani tulimuomba?

Oky!! again tu assume kwamba hamukumuomba but alipotoa mlipokea na mkamsifia...
Leo kachomoa na kubadili uelekeo mmemchukia na kumdhihaki..

emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
haki ya nani vile unazidi kunikumbusha stori ya ""Sizitaki Mbichi hizi"" darasa la tatu

plzzzzzz usiendeleee utanivunja mbavu...
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

hivi kwanini ninyi jamaa hamna kipindi cha UKIWA komedi kwenye runinga??? hakya nani vile mngewafunika hata kina Joti na ze komedi orijino

Hata akileta tena tunachukua
 
Trilioni 10 azitoe wapi? Sabodo ni tajiri namba ngapi kwenye forbes list? Mgombe urais wa marekani Donald Trump na utajiri wake wote hiyo trilioni 10 hana na yuko namba 324 duniani! Dangote na utajiri wake wote anakadiriwa kua na trilioni 30! sasa huyu utajiri wake ni kisi gani hadi akawekeze trn 10?

Kwani alizowapa CDM ni kiasi gani ? CDM walikuwa wanatembea na kushangilia kama ma.zu.zu wakati wakipokea hela yake
 
masihara pembeni njaa zinawayumbisha sana UKIWA... kamwe hamtaweza kusimamia kauli zenu mkapa kiama kije..

mkilishwa mpunga tuu, haoo!!.. mnajaa wazima wazima.. kauli zenu wenyewe mnazikana...

Wewe mwenyewe njaa kali unaishi kwa bk7 na kusifia ujinga
 
Back
Top Bottom