Sabodo chuo cha siasa CHADEMA kilikushinda utaweza kutoa trilion 10?

Zawadi B Lupelo

JF-Expert Member
Jul 19, 2015
2,549
3,722
Wanajamvi salaam!
Nimeshangazwa sana kupata habari kwamba tajiri Sabodo aliyekuwa mfadhili wa vyama vya upinzani kwa muda mrefu ametangaza kutokuwafadhili CHADEMA tena na badala yake atamsaidia JPM kuwekeza mkoani Dodoma.

Sina tatizo na Sabodo kuwekeza ama kumsaidia Magufuli la hasha ila nataka niwatahadharishe usanii wa huyu mzee.

Kuna kipindi aliwaahidi CHADEMA kuwajengea chuo cha siasa kwa ajili ya kuandaa viongozi. Chama kilitafuta eneo alipotafutwa Sabodo aliingia mitini hata hela ya upembuzi yakinifu ambayo haizidi bilioni nne za kitanzania hakutoa.

Leo hii mtu kama huyu huwezi kumuamini tena kwa ahadi za matrilioni hata kidogo anatafuta umaarufu wa bei nafuu tu.
 
Trilioni 10 azitoe wapi? Sabodo ni tajiri namba ngapi kwenye forbes list? Mgombe urais wa marekani Donald Trump na utajiri wake wote hiyo trilioni 10 hana na yuko namba 324 duniani! Dangote na utajiri wake wote anakadiriwa kua na trilioni 30! sasa huyu utajiri wake ni kisi gani hadi akawekeze trn 10?
 
Wanajamvi salaam!
Nimeshangazwa sana kupata habari kwamba tajiri Sabodo aliyekuwa mfadhili wa vyama vya upinzani kwa muda mrefu ametangaza kutokuwafadhili CHADEMA tena na badala yake atamsaidia JPM kuwekeza mkoani Dodoma.

Sina tatizo na Sabodo kuwekeza ama kumsaidia Magufuli la hasha ila nataka niwatahadharishe usanii wa huyu mzee.

Kuna kipindi aliwaahidi CHADEMA kuwajengea chuo cha siasa kwa ajili ya kuandaa viongozi. Chama kilitafuta eneo alipotafutwa Sabodo aliingia mitini hata hela ya upembuzi yakinifu ambayo haizidi bilioni nne za kitanzania hakutoa.

Leo hii mtu kama huyu huwezi kumuamini tena kwa ahadi za matrilioni hata kidogo anatafuta umaarufu wa bei nafuu tu.
Kutoa si utajiri , ni moyo.
Eleza kwa mhemuko huo huo, zile hela za kuchimba visima alizotoa ziliishia wapi, na mlichimba visima vingapi?

CHADEMA kuna ufisadi, ukibebwa bebeka.
 
Ni moyo lakini mzee hana kiasi hicho cha pesa. Na pia siyo wakati wote anatimiza ahadi huyu mzee
Hujaelewa argument yangu.
Mtu kakupa mabilioni kwa ajili ya visima muwahudumie wananchi.
Pesa imeliwa.

Inabidi mtu huyo awe bwege mtozeni kuendelea kumwaga pesa zake kwenye shimo la ufisadi.

Ni kweli anaweza asiwe na 10tril, lakini atahukumiwa kwa maneno na dhamira hiyo.
 
Hujaelewa argument yangu.
Mtu kakupa mabilioni kwa ajili ya visima muwahudumie wananchi.
Pesa imeliwa.

Inabidi mtu huyo awe bwege mtozeni kuendelea kumwaga pesa zake kwenye shimo la ufisadi.
Nimeelewa lakini sifahamu kuhusu hizo pesa kwa hiyo siwezi kuzungumzia mambo nisiyoyajua labda unieleweshe na kunithibitishia kuhusu hizo pesa za visima
 
Wanajamvi salaam!
Nimeshangazwa sana kupata habari kwamba tajiri Sabodo aliyekuwa mfadhili wa vyama vya upinzani kwa muda mrefu ametangaza kutokuwafadhili CHADEMA tena na badala yake atamsaidia JPM kuwekeza mkoani Dodoma.

Sina tatizo na Sabodo kuwekeza ama kumsaidia Magufuli la hasha ila nataka niwatahadharishe usanii wa huyu mzee.

Kuna kipindi aliwaahidi CHADEMA kuwajengea chuo cha siasa kwa ajili ya kuandaa viongozi. Chama kilitafuta eneo alipotafutwa Sabodo aliingia mitini hata hela ya upembuzi yakinifu ambayo haizidi bilioni nne za kitanzania hakutoa.

Leo hii mtu kama huyu huwezi kumuamini tena kwa ahadi za matrilioni hata kidogo anatafuta umaarufu wa bei nafuu tu.
Da!!!! Kwa kweli mla ganda wa Leo chungu kaona kivuno!!!
Unataka kuwadanganya Chagadema wenzio? ??? Hujui sababu????
ALIWAAMBIA MTOE FEEDBACK YA PESA ALIZOTOA KUCHIMBA VISIMA KWENYE MAJIMBO MLIYOKUWA MMESHINDA 2010...MKASHNDWA!!!! MAANA MWENYE CHAMA ALIZIPIGA NUSU YAKE....MLITAKA AWAAMINI TENA KATIKA LIPI??????
Inshu ya kwamba kwenye list ya Forbes hayupo LEO NDO MNALIJUA??? BAADA YA KUWAPIGA CHINI??? Alipokuwa anawafadhili alikuwa namba ngapi???,, mbona mlimuita Tajiri by then?????
Huwa mnamuita Ndesamburo kuwa ni tajiri Ndesapesa...ni namba ngapi Forbes?,
Vipi Lowassa ni namba ngapi Forbes???
Mbowe ni namba ngapi Forbes???

My Take:- Badiliken enyi wenye ndimi mbili..ndo maana kwa sasa mnamponda Dr Slaa simply kaonyesha msimamo wake...Yan kila anayekuwa kinyume na ninyi ni msaliti..mara shetan mara nini...HAMNA JEMA HATA MOJA
Yani kwa Jinsi Mzee Sabodo alivyowapiga jeki ninyi ndo wa kuanza kumtusi na kumdhalilisha!!!!!! Hiyo laana haitawaacha wallah!!!!!
 
Tatizo letu kubwa ni kuongea ukweli lakini hatuna namna kwani tukisema tujidanganye kuwa Sabodo ana trillion 10 nafsi zinatusuta.
 
Nimeelewa lakini sifahamu kuhusu hizo pesa kwa hiyo siwezi kuzungumzia mambo nisiyoyajua labda unieleweshe na kunithibitishia kuhusu hizo pesa za visima
Sawa mkuu, mfano huu pesa hapa hikuwa ya visima bali kwa uendeshaji chama.

wanachama CCM aichangia Chadema Sh. Milion 100

4728422.jpg

Tuesday, July 13, 2010 10:07 AM
MFANYABIASHARA maarufu nchini mwenye asili ya kiasia, Mustapha Jaffar Sabodo, mabaye pia ni mwanachama mzuri wa Chama cha Mapinduzi (CCM) amekichangia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiasi cha shilingi milioni 100 ka kuvutiwa na chama hic
Sabodo alikabidhi hundi ya mchango huo nyumbani kwake jana, Upanga jijini Dar es Salaam, kwa viongozi wakuu wa chama hicho akiwemo Mwenyekiti Taifa, Freeman Mbowe na Katibu Mkuu, Dk.Wilbrod Slaa akiwemo Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa chama hicho, Antony Komu.

Mara baada ya kukabidhi hundi hiyo Sabodo alisema, licha ya kuwa yeye ni mwanachama CCM kwa miaka mingi amevutiwa na jinsi chama hicho kinavyoendesha siasa nchini kwa kuwa viongozi wake ni makini na wana uchungu na maendeleo ya nchi hii

Pia alisema lengo ya kutoa mchango huo ni kuleta usawa katika demokrasia nchini katika uendeshaji wa shughuli za kisiasa na kuona demokrasia inakua na upinzani unaimarika.

“Nitaendelea kuwa mwanachama halali wa CCM, na kufanya kwangu hivi ni kuitaka CCM isilale isibweteke” alisema Sabodo

Kwa upande wa viongozi hao walimshukuru sana mfanyabiashara huyo kwa kuonyesha kutaka demokrasia ya kweli ndani ya nchi hii kwa kutoa kiwango kikubwa cha fedha tena hadharani kuichangia Chadema kinyume na matarajio yao.

Walisema fedha hizo watazitumia kama ipasavyo katika vipaumbele vitakavyopangwa na kamati kuu na kuendeleza mipango endelevu na kuimarisha zaidi chama hicho na kujiandaa na uchaguzi tarajio wa Oktoba mwaka huu.
 
Wanajamvi salaam!
Nimeshangazwa sana kupata habari kwamba tajiri Sabodo aliyekuwa mfadhili wa vyama vya upinzani kwa muda mrefu ametangaza kutokuwafadhili CHADEMA tena na badala yake atamsaidia JPM kuwekeza mkoani Dodoma.

Sina tatizo na Sabodo kuwekeza ama kumsaidia Magufuli la hasha ila nataka niwatahadharishe usanii wa huyu mzee.

Kuna kipindi aliwaahidi CHADEMA kuwajengea chuo cha siasa kwa ajili ya kuandaa viongozi. Chama kilitafuta eneo alipotafutwa Sabodo aliingia mitini hata hela ya upembuzi yakinifu ambayo haizidi bilioni nne za kitanzania hakutoa.

Leo hii mtu kama huyu huwezi kumuamini tena kwa ahadi za matrilioni hata kidogo anatafuta umaarufu wa bei nafuu tu.

Na wewe pia umeoa na una familia, kweli hawa Wanawake nao wana mizigo, Duh!
 
Mta account vipi billion 4 za upembuzi yakinifu kama hamuwezi ku account hela ndogo za kuchimba visima?
 
Huyo kiasi cha fedha cha saizi yake ni milioni 100 hata mtambo wa kiwanda cha kusindika muhogo haitoshi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom