Sabodo chuo cha siasa CHADEMA kilikushinda utaweza kutoa trilion 10?

Wewe mwenyewe njaa kali unaishi kwa bk7 na kusifia ujinga

Inawezekana ni kweli najisifia ujinga na ninaishi kwa Buku 7 kama ulivyosema.. sikubishii

Ila naomba nikukumbushe hizi Tano (5) Kali of all time: (VIGEUGEU ORIGINAL)
1. Nawashangaa wanaowachoma moto Vibaka na kumuacha Lowassa akitanua mitaani - Freeman Aikaeli Mbowe;
2. Anayemuunga mkono Lowassa akapimwe akili haraka - Mch. Peter Msigwa
3. Nina ushahidi wa kutosha kuhusiana na Wizi na Ufisadi wa Lowassa na Rostam - John Mnyika.
4. CCM wamempatia Fisadi Lowassa fomu ya kugombea urais. Ni hatari sana - Tundu Lissu.
5. Nimesema kama UKAWA tutamsimamisha fisadi , mna haki ya kututosa - Halima mdee

plzzz nakuomba usibishe mkuu!!! chonde chonde...
 
Kama kweli wewe siyo zombie thibitisha ufisadi wa Lowasa hapa, na ukiri kuwa serikali yenu ya chama chakavu imeshindwa kumshitaki huyo fisadi.Wacha kukariri.
 
Kutoa si utajiri , ni moyo.
Eleza kwa mhemuko huo huo, zile hela za kuchimba visima alizotoa ziliishia wapi, na mlichimba visima vingapi?

CHADEMA kuna ufisadi, ukibebwa bebeka.
Sina hakika kama alitoa fedha hizo kwani hata Dodoma aliwaingiza chaka wabunge wa mkoa huo kwamba angewapa fedha za kuchimba visima ili kutatua tatizo la maji katika majimbo yao lakini hadi leo hajatoa!

Wabunge wa Dodoma walitumia muda mrefu kuwahamasisha wapiga kura wao ili kujiandaa kushiriki na kuchangia nguvu zao kufanikisha visima hivyo lakini hadi leo wanaisoma namba ya Sabodo!!!
 
Kama kweli wewe siyo zombie thibitisha ufisadi wa Lowasa hapa, na ukiri kuwa serikali yenu ya chama chakavu imeshindwa kumshitaki huyo fisadi.Wacha kukariri.

Uko sahihi Mkuu Me ni Zombie hivyo siwezi kuthibitisha ulichoniomba nithibitishe, kwa kuwa I have no brain of my own ila huwa nina kopi na kupaste yale yaliyokwisha tangulia kusemwa kama hivi.... (ukikuta kuna mahali kuna kauli yangu una haki ya kunidai uthibitisho mkuu)...

1. Nawashangaa wanaowachoma moto Vibaka na kumuacha Lowassa akitanua mitaani - Freeman Aikaeli Mbowe;
2. Anayemuunga mkono Lowassa akapimwe akili haraka - Mch. Peter Msigwa
3. Nina ushahidi wa kutosha kuhusiana na Wizi na Ufisadi wa Lowassa na Rostam - John Mnyika.
4. CCM wamempatia Fisadi Lowassa fomu ya kugombea urais. Ni hatari sana - Tundu Lissu.
5. Nimesema kama UKAWA tutamsimamisha fisadi , mna haki ya kututosa - Halima mdee
 
Wanajamvi salaam!
Nimeshangazwa sana kupata habari kwamba tajiri Sabodo aliyekuwa mfadhili wa vyama vya upinzani kwa muda mrefu ametangaza kutokuwafadhili CHADEMA tena na badala yake atamsaidia JPM kuwekeza mkoani Dodoma.

Sina tatizo na Sabodo kuwekeza ama kumsaidia Magufuli la hasha ila nataka niwatahadharishe usanii wa huyu mzee.

Kuna kipindi aliwaahidi CHADEMA kuwajengea chuo cha siasa kwa ajili ya kuandaa viongozi. Chama kilitafuta eneo alipotafutwa Sabodo aliingia mitini hata hela ya upembuzi yakinifu ambayo haizidi bilioni nne za kitanzania hakutoa.

Leo hii mtu kama huyu huwezi kumuamini tena kwa ahadi za matrilioni hata kidogo anatafuta umaarufu wa bei nafuu tu.
Upembuzi yakinifu shilingi bilioni4 kweli alikuwa na haki ya kuingia mitini
 
Trilioni 10 azitoe wapi? Sabodo ni tajiri namba ngapi kwenye forbes list? Mgombe urais wa marekani Donald Trump na utajiri wake wote hiyo trilioni 10 hana na yuko namba 324 duniani! Dangote na utajiri wake wote anakadiriwa kua na trilioni 30! sasa huyu utajiri wake ni kisi gani hadi akawekeze trn 10?
Alisema shilingi bilioni10 lkn cdm siwajua kwa uwongo ndiyo kiwanda chao wanachoweza
 
Trilioni 10 azitoe wapi? Sabodo ni tajiri namba ngapi kwenye forbes list? Mgombe urais wa marekani Donald Trump na utajiri wake wote hiyo trilioni 10 hana na yuko namba 324 duniani! Dangote na utajiri wake wote anakadiriwa kua na trilioni 30! sasa huyu utajiri wake ni kisi gani hadi akawekeze trn 10?
anatafuta kusikika
 
mkuu upo sahihi kabisa..wabongo wasiopenda kufanya utafiti wanashabikia atatoa trillion kumi...thubutuuuu...azitoe wapi trillion kumi wakati hata kwenye list ya wenyenazo Africa tu hayumo...naungana nawe kusema huu ni uzushi na uongo wa kupindukia..Sabodo hana trillion 10...na nina imani hajawah hata kuzishika.
 
Back
Top Bottom