Sabodo alishawapa CHADEMA jengo la kisasa?

Sabodo alishawapa CHADEMA jengo la kisasa?

Hilo haliwezekani maana litaharibu dili ya pale ufipa

Ufipa kale kakibanda ni Bomba la pesa za wenye CDM
 
Ni kweli kabisa mimi jobless wala hujakosea lakini cha ajabu bi mkubwa wako kanipendea hicho si unajua sisi majobless kazi ni moja tu.
Mwanakisonge usharudi fungateni mombasa?
 
Nineona wachangiaji wote ni hopeless.kauliza kama huna jibu kaa kimya.et mnajiita wasomi.
 
Chadema ni tumboni street hakuna cha jengo wala kibanda. Wakijenga ofisi wenye chama na saccos yao watapataje kodi pale ufipa?
 
Wanaukumbi.

MFANYABIASHARA maarufu nchini, Mustafa Sabodo alihudhuria Mkutano wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mwaka 2012 na kuahidi kukijengea chama hicho jengo la kisasa la makao yake makuu.

Vipi hilo jengo lipo maeneo gani yoyote anayejua kwa faida ya JF tunaomba atujuze.

Tufahamishemi makamanda sisi wengine tupo mbali na Jiji la Dar es Salaam au limejengwa Arusha au Kilimanjaro.
hakuna
 
Back
Top Bottom