Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,201
- 40,113
Wanaukumbi.
MFANYABIASHARA maarufu nchini, Mustafa Sabodo alihudhuria Mkutano wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mwaka 2012 na kuahidi kukijengea chama hicho jengo la kisasa la makao yake makuu.
Vipi hilo jengo lipo maeneo gani yoyote anayejua kwa faida ya JF tunaomba atujuze.
Tufahamishemi makamanda sisi wengine tupo mbali na Jiji la Dar es Salaam au limejengwa Arusha au Kilimanjaro.