Sabaya akionesha majonzi juu ya kifo cha Magufuli

Huu uzi naomba uendelee kuwepo tuone km sabaya will pay...mnachosahau ni kua sabaya works for mfumo sio mtu, kaondoka mtu mfumo umebaki.

Mnaweza mkashangaa anapanda kuwa mkuu wa mkoa kama Makonda alivyopanda kutoka ukuu wa wilaya enzi za JK hadi ukuu wa mkoa enzi za JPM, lets be smart and optimistic.

siasa ni mchezo mchafu mtashangazwa mbaki midomo wazi

Hakuna cha mfumo wala nini, jamaa alikuwa jamnazi
 
Huu uzi naomba uendelee kuwepo tuone km sabaya will pay...mnachosahau ni kua sabaya works for mfumo sio mtu, kaondoka mtu mfumo umebaki.

Mnaweza mkashangaa anapanda kuwa mkuu wa mkoa kama Makonda alivyopanda kutoka ukuu wa wilaya enzi za JK hadi ukuu wa mkoa enzi za JPM, lets be smart and optimistic.

siasa ni mchezo mchafu mtashangazwa mbaki midomo wazi
uwiiii😀😀
 
dogo wacha akanyee ndoo kwanza, maisha ya duniani yanakwenda kwa kasi ya ajabu....

.....zamu ya nani leoo.....
 
Huu uzi naomba uendelee kuwepo tuone km sabaya will pay...mnachosahau ni kua sabaya works for mfumo sio mtu, kaondoka mtu mfumo umebaki.

Mnaweza mkashangaa anapanda kuwa mkuu wa mkoa kama Makonda alivyopanda kutoka ukuu wa wilaya enzi za JK hadi ukuu wa mkoa enzi za JPM, lets be smart and optimistic.

siasa ni mchezo mchafu mtashangazwa mbaki midomo wazi
Akitoka atakuja kuwa mkuu wa mkoa. Your wishes are still there.
 
Huu uzi naomba uendelee kuwepo tuone km sabaya will pay...mnachosahau ni kua sabaya works for mfumo sio mtu, kaondoka mtu mfumo umebaki.

Mnaweza mkashangaa anapanda kuwa mkuu wa mkoa kama Makonda alivyopanda kutoka ukuu wa wilaya enzi za JK hadi ukuu wa mkoa enzi za JPM, lets be smart and optimistic.

siasa ni mchezo mchafu mtashangazwa mbaki midomo wazi
Mkuu upo Hai kweli??😂😂😂😂
 
Gobole limeuwa Nyani
 
Nadhani umeshangaa wewe sasa
 
Chozi hilo lina mengi ya kuongea

5E1713BF-20BE-4C19-9B81-829EB95E64CF.jpeg
 
Back
Top Bottom