Yaani mimi huwa nawakubali sana wazee wa kariba yako
MZEE RAZA, wazee hawana noma wala miyeyusho, ungekuwa karibu ungekula viposho posho vyangu maana unajua kuninadi vyema...heko kwa hilo...ahahha
"Hendisamu boy" wa kitaa naishi karibu na hostel ya wanachuo hapa mkoani kwangu..mpaka ulimbukeni wa mademu umeisha maana kila sampuli nishapiga shoo kwa kiki la UHB na Ndinga..mpaka wale midget.. I mean vile vidada vifuuupi yeaah vimbilikimo ambavyo ndivyo vilikuwa fantasy yangu hapo awali..nimetawanya!!..nna mengi ya hapa hostel kwa wananzuoni
MZEE RAZA?
Vipi wazee wa siku hizi na nyie mko vizuri nikuunganishe na wew uje usimamie show maana ng'ombe hazeeki maini
MZEE RAZA?