Sniper shooter
Senior Member
- Jan 3, 2016
- 178
- 128
umeniwahiiiiisipendi wanawake wanaobinua makalio wakipiga picha!!
umeniwahiiiiisipendi wanawake wanaobinua makalio wakipiga picha!!
Tumesoma na kuelewa
Nipo mbionihujaolewa kwani?
Sawa mhaya tumekusikiaWanaume tusiwe too selective saana maana ndoa ni kila mtu anakuja na mapungufu yake kwa hiyo kazi kuubwa ni kuvumiliana na kuelewana tu ndani ya ndoa.
Limekuwa tatizo langu pia sijaoa though nina miaka 28 na kazi nono tu serikalini nimerafakari nikagundua hata mimi ni tatizo pia simply because I'm too selective and overqualified kwa maana ni HB saana so nataka lady wa level zangu at the end ninapowapata wa level hizo wengi wanaspoil.
Ila ndo tatizo langu naamini.
nimetafakari nikagundua hata wwe ni tatizo piaWanaume tusiwe too selective saana maana ndoa ni kila mtu anakuja na mapungufu yake kwa hiyo kazi kuubwa ni kuvumiliana na kuelewana tu ndani ya ndoa.
Limekuwa tatizo langu pia sijaoa though nina miaka 28 na kazi nono tu serikalini nimerafakari nikagundua hata mimi ni tatizo pia simply because I'm too selective and overqualified kwa maana ni HB saana so nataka lady wa level zangu at the end ninapowapata wa level hizo wengi wanaspoil.
Ila ndo tatizo langu naamini.
Interesting truth...Wanaume tuko waajabu sana.
1. Mdada akiwa kavaa nguo za kanisani kila siku, twamuita mshamba
2. Mwanamke asiye fanya makeup twamuona mshamba.
3. Ukimuona mwanadada kashika simu mulika mwizi, hana whatsapp, insta wala Facebook, ukimuuliza JF anakwambia ndo nini twamuona mshamba.
3. Mwanamke anakunywa fanta dukani kwa mpemba, hajui baa wala club, twamuona mshamba.
- Mkeo nyumbani anangara anajikeep soap soap, ako na shepu bomba lakini bado twala ma HG wasojua hata mafuta ya kupaka.
- Umeoa mke toka kijijini kisa hawa wa mjini wanajipura sana hawana mvuto, binti wa watu kajaa ushamba mpaka matakoni. Lakini kazini unampango wa kando mwenye kujipura balaa.
SISI NDO WANAUME BWANA ( Kukiwa baridi twalilia joto, kukiwa na joto twasema heri baridi. kukiwa mvua twataka Jua na kukiwa na jua tunaona bora mvua).
Umejuaje kama wewe ni hb sana?? Au ni matangazo at work??Wanaume tusiwe too selective saana maana ndoa ni kila mtu anakuja na mapungufu yake kwa hiyo kazi kuubwa ni kuvumiliana na kuelewana tu ndani ya ndoa.
Limekuwa tatizo langu pia sijaoa though nina miaka 28 na kazi nono tu serikalini nimerafakari nikagundua hata mimi ni tatizo pia simply because I'm too selective and overqualified kwa maana ni HB saana so nataka lady wa level zangu at the end ninapowapata wa level hizo wengi wanaspoil.
Ila ndo tatizo langu naamini.
ni kweli we chunguza statas za wa WhatsApp utaona mkuu wengi wanajifariji kwa njia hiyohaaa kabsaa uko sahh
mkuu
Naunga mkonyo hoja
Umejuaje kama wewe ni hb sana?? Au ni matangazo at work??
Vizuri sana handsome boy!!!!!Ukishindwa kujitambua na kuwa na self- esteem basi ujue ndo ushafail katika maisha. Kama dully saksi anamini yeye ni endisamu na sura ile ya Babu yake itakuwa mimi!
Feed your mind with positives...like mimi ni handsome na najitambua..that's it!
Kwa hiyo unawachapa nao tuuu watoto wazuri wazuri walojaaliwa neema za Allah!! Ama nene?MZEE RAZA bhaaana! Ahahahhaah
Kwa hiyo unawachapa nao tuuu watoto wazuri wazuri walojaaliwa neema za Allah!! Ama nene?
Safiiiii sana "hendisamu boy" so Kitaa unao wangapi mwana?Ni nooma MZEE RAZA Na hvi God alifungua nikapata na uchawi wa mzungu I mean kipira, ndinga baasi wanakuja tu wazima watoto wazuri. Wanaamini sina shida hata chembe.
Mungu anisaidie tu mkuu.
Safiiiii sana "hendisamu boy" so Kitaa unao wangapi mwana?
Manake ukiwa na chambi then unasukuma ndinga sipati picha meeeeen!!!!
mkoa gan ukko mkuu?Yaani mimi huwa nawakubali sana wazee wa kariba yako MZEE RAZA, wazee hawana noma wala miyeyusho, ungekuwa karibu ungekula viposho posho vyangu maana unajua kuninadi vyema...heko kwa hilo...ahahha
"Hendisamu boy" wa kitaa naishi karibu na hostel ya wanachuo hapa mkoani kwangu..mpaka ulimbukeni wa mademu umeisha maana kila sampuli nishapiga shoo kwa kiki la UHB na Ndinga..mpaka wale midget.. I mean vile vidada vifuuupi yeaah vimbilikimo ambavyo ndivyo vilikuwa fantasy yangu hapo awali..nimetawanya!!..nna mengi ya hapa hostel kwa wananzuoni MZEE RAZA?
Vipi wazee wa siku hizi na nyie mko vizuri nikuunganishe na wew uje usimamie show maana ng'ombe hazeeki maini MZEE RAZA?
Umesahau babe nataka iPhone 6Habari Jf, tuelimishane kuhusu
SABABU ZITAKAZO KUFANYA WEWE BINTI USIOLEWE:-
★1. Kuvaa nguo za ajabu ajabu kama changudoa. Sijui ni nani aliyewaambia kuwa mkivaa hivyo mnapendeza!
★2. Kujipaka marangi ya ajabu ajabu usoni kama mwali wa kimakonde au kizaramo kwanza mnatutisha tu.
★3. Kupenda kujirahisisha au kujipendekeza pendekeza kwa wanaume, yani ukiguswa kidogo tu twende.
★4. Kuwa na picha karibia 500 Facebook, Twitter nk halafu picha zenyewe hazieleweki yani zimepigwa katika mavazi au mapozi ya ajabu ajabu, mara umebinua makalio, mara tumbo, mara mdomo, Haaaaa!
★5. Kila unachofanya basi unakimbilia kupost mfano kwenye Facebook account
yako au Instagram na nyinginezo hata ukienda haja basi lazima upost.
★6. Ni mtu wa maneno maneno yani we kila unachokiona unaongea na kuropoka ropoka tu hauna break! mwanamke gani?
★7. Huna mawazo ya malengo endelevu yani we kwenye bichwa lako kumejaa umbea tu sijui leo Wema Sepetu amefanya nini? Sijui Kim, Lupita amefanya vile na upuuzi mwingine.
★8. Mizinga. Yani siku ya pili tu baada ya kukutongoza unaanza " honey nataka galaxy" Htc" Huawei" mara baby nimeona nguo nzuri mara ooh baby yaani njaa inauma'' mimi babaako, utasindikiza harusi za wenzio hadi upigwe alama.
""Utaishia kunisonya lakini message sent""