Kwanini sisi wasichana tukitongoza wanaume tunadharaulika?ukimwambia mwanaume unampenda unaonekana malaya.Kwanini iwe hivo?halafu wasichana wakitembea na wanaume wengi wanaonekana malaya,wakati wanaume wakitembea na wanawake wengie heshima inaongezeka.
kwanini inakuwa hivyo?
nimekuelewa kwa jibu la kwanza,but hilo la pili sikubaliani na wewe.Mimi ukinitongoza sitakudharau. Ukiniambia unanipenda sitakuona malaya.
Nitaanzia wapi kwanza kukuona malaya? Kisa tu ni kwamba umeniambia unanipenda? Hapana. Hiyo haipo na wala haikuji!
Hiyo ya wanawake kutembea na wanaume wengi na kuonekana malaya wakati wanaume watembeao na wanawake wengi huonekana wao ndiyo wao, ni ndivyo ilivyo tu.
Kuna mambo hapa duniani ambayo mtu huwezi ukayaelezea kwa ufasaha hata kama hayapo sawa. Mojawapo ya hayo mambo ni hilo la mwanamke na wanaume wengi na mwanamme na wanawake wengi. Ni upande wa maisha ambapo mambo huwa ndivyo yalivyo.
wanasema eti funguo inayofungua kofuli nyingi inaitwa master key, lakini kofuli inayofunguliwa na kila funguo hiyo haifai, utashauriwa ukanunue kofuli aina za Yale, Solex (original) na zingine imara zaidi
nimekuelewa kwa jibu la kwanza,but hilo la pili sikubaliani na wewe.
Kitty teh teh na ndo kweliwanasema eti funguo inayofungua kofuli nyingi inaitwa master key, lakini kofuli inayofunguliwa na kila funguo hiyo haifai, utashauriwa ukanunue kofuli aina za Yale, Solex (original) na zingine imara zaidi
ila mkuu kwanini umalaya usiwe pande zote.?mana kila mtu hapo ametembea na watu wengiEleza basi jinsi ambavyo hukubaliani na mimi.
ila mkuu kwanini umalaya usiwe pande zote.?mana kila mtu hapo ametembea na watu wengi
truth,ila na wewe una maandiko ya kweliMwanaumme aliumbwa kwa mfano wa Mwenyezi Mungu...........................na mwanamke aliumbwa kwa manufaa ya mwanaumma...........kwa maana ya kisaidizi........................
Kwa hiyo mwanamke anaposhindana na mwanaumme ni sawasawa kabisa na usemi usemao..............ukiiga kunya kwa tewmbo utapasuka msamba...............................
Angalia idadi ya wanawake wenye vvu........................utapata jibu kuwa.......................it does not pay for a woman to rival her man......................nguvu ya mwanamke ipo kwenye kujiheshimu tu.....................na wala siyo kushindana na mzee wake......
Mtume Paulo amekuelekeza ifuatavyo:-
a) For a man indeed ought not to cover his head, since he is the image and glory of God; but woman is the glory of man. For man is not from a woman, but woman from man. Nor was man created for the woman, but woman for the man." 1 Corintihians 11:7-9.
b) "Wives submit to your own husbands, as to the Lord. For the husband is head of the wife, as also Christ is head of the church; and he is the saviour of the body. Therefore, just as the church is subject to Christ, so let the wives be to their own husbands in everything." Ephesians 5:22-24.
hiyo ya kwanza ni kabla hamjaanza mahusiano,ila baadaye mnaanza kuongea ni malaya na mmeshafanikiwaMimi ukinitongoza sitakudharau. Ukiniambia unanipenda sitakuona malaya.
Nitaanzia wapi kwanza kukuona malaya? Kisa tu ni kwamba umeniambia unanipenda? Hapana. Hiyo haipo na wala haikuji!
Hiyo ya wanawake kutembea na wanaume wengi na kuonekana malaya wakati wanaume watembeao na wanawake wengi huonekana wao ndiyo wao, ni ndivyo ilivyo tu.
Kuna mambo hapa duniani ambayo mtu huwezi ukayaelezea kwa ufasaha hata kama hayapo sawa. Mojawapo ya hayo mambo ni hilo la mwanamke na wanaume wengi na mwanamme na wanawake wengi. Ni upande wa maisha ambapo mambo huwa ndivyo yalivyo.