NAMKWAKWA
Member
- May 16, 2013
- 43
- 38
i) Hakuna Sera ya gesi ambayo husababisha kupatikana Sheria bali kilichopo ni rasimu ya sera ambayo haina ushirikishwaji wa mawazo ya wananchi wa Mkoa wa Mtwara na Lindi, ambako vyanzo vya gesi hiyo ipo.
ii) kauli za vitisho na kuzalilishwa zilizotolewa kwa watu wa mikoa ya kusini na mkuu wa nchi na viongozi wa serikali kama ifuatavyo
a) Kwa hali yoyote gesi lazima itoke Mtwara (Kwa gharama yoyote ile) kwa kukubali ama kutokubali itakwenda Kinyerezi kwa bomba
b) Kuitwa wahaini wananchi wa Mkoa wa Mtwara kwa kuandamana
c) Kuitwa wajinga, hawakusoma na kuwa watu wa vijiweni wasio na elimu ya gesi
iii)kuondolewa kwa reli ya Mtwara Nachingwea
iv) Kutokamilika kwa ujenzi wa barabara ya rami toka Dar es salam to Mtwara kwa miaka 50 ya uhuru.licha ya kutolewa fedha na wafadhili,fedha hizo zlienda kujenga hospitali ya kanisa la Roma mwanza.
v)kuondolewa taa za kuongozea ndege kiwanja cha ndege mtwara na kupelekwa KIA Moshi.
vi) Mikoa ya kusini kutengewa pesa ndogo za ruzuku ya maendeleo
vii) Mazingira ya usiri katika uwekezaji uliofanywa katika bandari ya mtwara,haijurikani muwekezaji atakaa kwa muda gani na nchi itanufaika vp.
viii)Kungolewa mashine za maji Newala na kupelekwa Dodoma,wakati Newala ni moja kati ya wilaya zenye tatizo la maji Tanzania.
ix)kufutwa kwa mpango wa Mtwara coridor.
x) kuondolewa kwa melia mizigo zilizokuwa zikiunganisha mikoa ya kusini na dsm,zbar na tanga
NAOMBA KUWASILISHA JAMVINI